Kuna Timu inapanga kucheza Mechi 2 au 3 za Kirafiki ili Kutuliza Mashabiki wake na Tano Tano za Wanaojua Tanzania

Wakati mwingine huwa nakukubali sana, ili ukianzaga kuzingua dah....
 
Sijawahi kuona unaizungumza Simba vizuri. Negativity! Negativity! Uchawi!

Tangu Januàry Hadi September huandiki lolote jema kuhusu Simba!

Ni kweli Simba haina Jambo jema inalofanya?

Nadhani Ni project maalumu kuhakikisha unaishusha brand ya Simba kwa namna yyte!

Mtu usiyeona jema huna tofauti na wakala wa kuzimu. Wewe Ni mchawi! Jinsi ambavyo huna jema ndivyo ambavyo hata wee hubarikiwi kwa lolote.

Binadamu ambaye kila unachoandika Ni kukwaza wengine, wewe Ni wakala wa shetani.

Kwamba Simba haikutakiwa kufanya mechi za kirafiki kujiandaa? Kwamba Simba inacheza kutafuta goli 5. Yaani ww ndio CEO ,Mkiti, Bodi ya wakurugenzi Simba.Yaani hao wote hawaijui Simba km ww.

Huna jema na hutapata mema! Badilika!
 
Ipi hiyo Mkuu? Biashara United FC ya Kwetu Mkoani Mara / Musoma ninayoishabikia hasa au?
Hujawahi kuitakia Simba jema lolote. Kufeli KWA Simba Ni furaha yako! Ili uendeleze uchawi na ulozi wako.
 
Akiwasema nyia anazingua akitusema simba mna mkubali ?
Aliesema wenye akili huko kwenu ni wawili tu hakukosea
Mashabiki wa Yanga SC hapa JamiiForums ni WANAFIKI mno na nimefurahi ulivyompasha hapo na uko sahihi 100%

Kulithibitisha hilo kuna Uzi nauandaa Usiku huu au nitauleta hapa JamiiForums Kesho wa kuwahusu Yanga SC hivyo hawa hawa ambao Leo wananipongeza hapa watakavyonigeuka na kuanza Kunitukana kama siyo Kunishambulia.
 
SAGAI GALGANO na rodrick alexander bila wana Simba SC Wengine hapa JamiiForums eti ni kweli GENTAMYCINE sijawahi / hajawahi Kuandika Habari zozote Positive ( Chanya ) za Kuihusu Simba SC yetu? Tafadhali nisaidieni kunijibia huyu Mpumbavu Mmoja.
 
Hujawahi kuitakia Simba jema lolote. Kufeli KWA Simba Ni furaha yako! Ili uendeleze uchawi na ulozi wako.
SAGAI GALGANO na rodrick alexander bila wana Simba SC Wengine hapa JamiiForums eti ni kweli GENTAMYCINE sijawahi / hajawahi Kuandika Habari zozote Positive ( Chanya ) za Kuihusu Simba SC yetu? Tafadhali nisaidieni kunijibia huyu Mpumbavu Mmoja.
 
Yanga ina hazina kubwa sana ya wapumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…