Kuna Timu itafanya Tamasha lake huku Branding nzima ya Uwanja bado ikiwa ni ya Timu iliyotangulia kufanya Tamasha

Kuna Timu itafanya Tamasha lake huku Branding nzima ya Uwanja bado ikiwa ni ya Timu iliyotangulia kufanya Tamasha

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Siku zingine tumieni Akili haiwezekani Mwenzako anafanya Tamasha lake leo na unajua kabisa kuwa Uwanja utakuwa Busy, Matukio ni mengi na Branding nazo zikiwa za kila aina ambazo hata Kuziondoa nazo huchukua muda halafu na Wewe unataka ufanye Tamasha lako Kesho yake.

Kuna aina fulani ya Usumbufu itakayotokea. Haya jiandae Kuzoa Kwanza Takataka zitakazoachwa na Wanaowatangulia kisha ndiyo nanyi muanze Maandalizi yenu. Kwani mngefanya Tamasha lenu baada ya Siku moja au mbili ya Tamasha lao mngepungukiwa nini?

Na hata kama Kisingizio kitakuwa ni Mechi yenu nao Eight Eight mlishindwa nini tu Kuwaomba TFF ambao mnasema Mnawamudu wasogeze mbele hiyo Mechi? Na ninavyojua Jamaa walivyopanga Kuwakomoa yaani 'Wataukweka' Kimakusudi ili mje muyazoe na Kusafisha.

Siku zingine / Mwakani jitahidini mtumie Akili sawa?

Imeisha hiyo.......!!
 
Huyu jamaa kama Fumbo Khan kule X muda wote anawashwa washwa tu.
 
Umeandika ujinga
Ivyo ni vitu vidogo Sana kwa ulimwengu wa Sasa, Yanga Walisha litambua ilo siku nyingi na halikuonekana kuwa sumbua.

Tuna watu wazoefu wa kuondoa alama zote mlizo acha ndani ya muda mfupi Sana
 
Siku zote huwezi kumshinda uliyemuiga. Hapo wanaangalia Simba watafanya Nini ili waige..
 
Timu imejaa masho.ga hamchelewi kuvua na kuukweka hadharani.
 
Labda wewe ni mgeni wa haya matamasha. Zoezi la branding linafanyika usiku ndani ya lisaa limoja tu hayo matakataka mekundu kama ya mganga wa kienyeji yanang'olewa vinawekwa vitu vya maana kwa ajili ya furaha ya wananchi watanzania
 
Back
Top Bottom