Kuna tofauti gani kati ya TV ya Hisense ya boksi jeupe na ya boksi la kaki?

Hujapatapo hata ka picha cha box tuone huenda haina utofauti ila ni packaging tu
 
tv za kichina nyingi packages zake huwa kwenye box la Kaki... zile zilizotoka kwenye company harisi huwa kwenye packages yenye brand color...! kila kampuni ina rangi zake za utambulisho.

ila kibongo bongo kila kitu kinawezekana...!​
 
Habari za asibuhi wakuu,

Natamani kujua utofauti uliopo kwenye TV ya Hisense ya boksi jeupe na ile ya boksi ya kaki, na between the two ipi ni bora kuliko mwenzake?

Waatalamu wa electronics na wajuzi wengine naomba mnijuze.
moja inatoka china Nyingine inatoka South Africa.ndio utofauti huo walioniambia
 
tv za kichina nyingi packages zake huwa kwenye box la Kaki... zile zilizotoka kwenye company harisi huwa kwenye packages yenye brand color...! kila kampuni ina rangi zake za utambulisho.

ila kibongo bongo kila kitu kinawezekana...!​
vip kuhusu SAMSUMNG box zake kua za kaki
 
Ningekua ni mimi ningeachana nao hao hisense iwezekani watuchanganye. Km vipo kacheki TCL TV.
 
Hiyo yenye box nyeupe ni bora kuriko ya box ya kaki coz hiyo nyeupe inatoka south Africa bei yake pia inatofautia na ya kaki kutoka China nyeupe iko juu kidogo Kama 50elfu Hadi laki
 
Habari za asibuhi wakuu,

Natamani kujua utofauti uliopo kwenye TV ya Hisense ya boksi jeupe na ile ya boksi ya kaki, na between the two ipi ni bora kuliko mwenzake?

Waatalamu wa electronics na wajuzi wengine naomba mnijuze.
Tupe picha
 
Kwa hali ilivyo likelihood ya kununua bidhaa kanyanga kwa nchi zetu ni kubwa.

Nashauri nunua kwa Authorized dealer wa Hisense, hapo upate na warranty halisi...then issue ya rangi ya box ita ji-sort.

Kama uko kkoo nenda kwa lampard electronics jengo la simba ss nadhani, utanishukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…