Unataka facts ipi angali umeweka maelezo bila ushahidi Kwanza nikuulize unamiliki Hisense? Rejea kusoma hayo maelezo Apo juu kuhusu masoko ya Hisense kutoka south Africa "these products are exported to more than 10 African countries such as Madagascar, Mozambique,Zimbabwe,as well as Eu countries ndio maan Hata hizo iPhone zenu zinazokuja Asia na Africa na zinazoenda Uk ni tofauti ili bidhaa yako iuzwe katika masoko shindani ya ulaya lazima uitengeze kulingana na viwango vya ubora wanavyotaka wao ndio hivyo kwa Hisense zinazoenda Eu zinakuwa na kasha jeupe bei yake iko juu kidogo hata ukizipata katika soko la kariakoo sio nyingi sababu ya Bei pia,Hhivyo pia hata kwa magari mafano ushawahi ona Rav4 bongo yenye speed 220 Sasa nilikutana nayo hiyo left hand imenunuliwa ufaransa kwa akili ya kwenda Rwanda Ile gari ndani na mwonekano wa nje ni rav4 ya kawaida kabisa Ila ukianza kuendesha ndo utajua hii chuma Ina ubora kuliko tuliyozoea