Kuna tofauti gani kati ya TV ya Hisense ya boksi jeupe na ya boksi la kaki?

Hisense original number ya warranty inaendana na ile ya kwenye box
Kama haziendani hiyo ni fake
 
Hiyo yenye box nyeupe ni bora kuriko ya box ya kaki coz hiyo nyeupe inatoka south Africa bei yake pia inatofautia na ya kaki kutoka China
hapa umepotosha
Hisense za SA zinatengenezwa kwa standards zile zile kama inayotengenezwa China
Hisense walitengeneza kiwanda cha kufyatua izo appliances SA mwaka 2013 huku HQ ikibaki kuwa China

kwa mantiki yako ni kwamba, Samsung Phones made in Vietnam, Indonesia, Brazil hazina ubora na ni cheaper kuliko zile made in South Korea siyo ?
 
Zimetofautiana series moja ni A series nyingine ni E series. Sijui tofauti itakuwa ni nini.
 
Unabisha kwa mtazamo au uhalisia namiliki hisense hiyo ya box la kaki kutoka China siku moja nikaenda kwa rafiki yangu nikakuta hiyo ya box nyeupe nikaona tofauti yake,hizo za box la kaki zinalenga soko la Africa na Asia huwezi zilinganisha na nyeupe ambazo soko lake ni ulaya na afrika kusini
 
lete facts mzee siyo porojo



 
Unataka facts ipi angali umeweka maelezo bila ushahidi Kwanza nikuulize unamiliki Hisense? Rejea kusoma hayo maelezo Apo juu kuhusu masoko ya Hisense kutoka south Africa "these products are exported to more than 10 African countries such as Madagascar, Mozambique,Zimbabwe,as well as Eu countries ndio maan Hata hizo iPhone zenu zinazokuja Asia na Africa na zinazoenda Uk ni tofauti ili bidhaa yako iuzwe katika masoko shindani ya ulaya lazima uitengeze kulingana na viwango vya ubora wanavyotaka wao ndio hivyo kwa Hisense zinazoenda Eu zinakuwa na kasha jeupe bei yake iko juu kidogo hata ukizipata katika soko la kariakoo sio nyingi sababu ya Bei pia,Hhivyo pia hata kwa magari mafano ushawahi ona Rav4 bongo yenye speed 220 Sasa nilikutana nayo hiyo left hand imenunuliwa ufaransa kwa akili ya kwenda Rwanda Ile gari ndani na mwonekano wa nje ni rav4 ya kawaida kabisa Ila ukianza kuendesha ndo utajua hii chuma Ina ubora kuliko tuliyozoea
 
huna proof , zote ni hisia zako
 
Kwa hio kwa Jin's ulivoziona ipi ni bora zaid? Ya south ama china?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…