Kuna tofauti gani kati ya waganga wa kienyeji na matapeli wa kidini waliotapakaa nchini na Afrika

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao.

Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi.

Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza.

Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi.

Wote wanatafuta kupiga fedha.

Wote ni wababaishaji.

Je, hawa wana tofauti gani?
 
Andika hapo ,Africa wameamua kuyapa kipaumbele makanisaa kuliko elimu ,,hvyo baada yakuwanyima elimu wananchi wameamua kuwaburuza makanisani maana walinyimwa elimu angalau ya kujitambua 😔

Ni huzunii
FB_IMG_1722541036731.jpg
 
Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao.
Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi.
Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza.
Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi.
Wote wanatafuta kupiga fedha.
Wote ni wababaishaji.
Je hawa wana tofauti gani?
Haujui chochote kuhusu waganga wa kienyeji. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili aliyeitibu jamii kwa maelfu ya miaka kabla ya kuja kwa hospitali juzi juzi tu hapa.

Cha ajabu nyumbu wanathamini zaidi kilichogunduliwa juzi tu (hospital) na kusemea maneno machafu na kupuuza waganga wa kienyeji!!
Kwa hapa Tanzania mpaka leo kuna vijiji vingi hamna hospitali, je afya za hao watu zinaangaliwa na nani? Jibu madaktari wa asili.
Mganga fulani akiwa tapeli haimanishi waganga wote ni matapeli hawana maana
 
Siku nikiwa rais, makanisa yote ya watu binafsi yatageuzwa kuwa shule
 
Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao.
Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi.
Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza.
Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi.
Wote wanatafuta kupiga fedha.
Wote ni wababaishaji.
Je hawa wana tofauti gani?
Hawana tofauti yoyote kwa maoni yangu.
 
Andika hapo ,Africa wameamua kuyapa kipaumbele makanisaa kuliko elimu ,,hvyo baada yakuwanyima elimu wananchi wameamua kuwaburuza makanisani maana walinyimwa elimu angalau ya kujitambua 😔

Ni huzuniiView attachment 3158136
Sasa Mai wanguu....shule si zinajengwa na serikali, tu kiacha kujenga makanisa serikali itatujengea makanisa ?
 
Nimemuuliza dada mmoja Muislamu kwa nini anaenda kwa Mwamposya akanijibu-.
Kule ni sawa na kwenda kwa mganga wa kienyeji badala ya kuitikia "tawire" huko wanaitikia "tumsifu bwana" na inaishia hapo.
 
Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao.
Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi.
Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza.
Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi.
Wote wanatafuta kupiga fedha.
Wote ni wababaishaji.
Je hawa wana tofauti gani?
Mkuu kuna mtu analazimishwa kuwa tafuta??

Wanao fuata ni watu wazima na wenye akili timamu.

Je hao unao watuhumu hushurutisha wateja wao kutoa malipo ya huduma hizo??

Mkuu usichafue na kukashifu watu na shughuli zao. Pambana na hali yako.
 
Haujui chochote kuhusu waganga wa kienyeji. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili aliyeitibu jamii kwa maelfu ya miaka kabla ya kuja kwa hospitali juzi juzi tu hapa.

Cha ajabu nyumbu wanathamini zaidi kilichogunduliwa juzi tu (hospital) na kusemea maneno machafu na kupuuza waganga wa kienyeji!!
Kwa hapa Tanzania mpaka leo kuna vijiji vingi hamna hospitali, je afya za hao watu zinaangaliwa na nani? Jibu madaktari wa asili.
Mganga fulani akiwa tapeli haimanishi waganga wote ni matapeli hawana maana
🙋‍♂️🎯👍👌👊👏🤝🙏
 
Nimemuuliza dada mmoja Muislamu kwa nini anaenda kwa Mwamposya akanijibu-.
Kule ni sawa na kwenda kwa mganga wa kienyeji badala ya kuitikia "tawire" huko wanaitikia "tumsifu bwana" na inaishia hapo.
🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom