Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Shukrani. Umeaua mwanangu.
Haujui chochote kuhusu waganga wa kienyeji. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili aliyeitibu jamii kwa maelfu ya miaka kabla ya kuja kwa hospitali juzi juzi tu hapa.Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao.
Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi.
Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza.
Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi.
Wote wanatafuta kupiga fedha.
Wote ni wababaishaji.
Je hawa wana tofauti gani?
Hawana tofauti yoyote kwa maoni yangu.Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao.
Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi.
Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza.
Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi.
Wote wanatafuta kupiga fedha.
Wote ni wababaishaji.
Je hawa wana tofauti gani?
Sasa Mai wanguu....shule si zinajengwa na serikali, tu kiacha kujenga makanisa serikali itatujengea makanisa ?Andika hapo ,Africa wameamua kuyapa kipaumbele makanisaa kuliko elimu ,,hvyo baada yakuwanyima elimu wananchi wameamua kuwaburuza makanisani maana walinyimwa elimu angalau ya kujitambua π
Ni huzuniiView attachment 3158136
Mkuu kuna mtu analazimishwa kuwa tafuta??Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao.
Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi.
Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza.
Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi.
Wote wanatafuta kupiga fedha.
Wote ni wababaishaji.
Je hawa wana tofauti gani?
πββοΈπ―πππππ€πHaujui chochote kuhusu waganga wa kienyeji. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili aliyeitibu jamii kwa maelfu ya miaka kabla ya kuja kwa hospitali juzi juzi tu hapa.
Cha ajabu nyumbu wanathamini zaidi kilichogunduliwa juzi tu (hospital) na kusemea maneno machafu na kupuuza waganga wa kienyeji!!
Kwa hapa Tanzania mpaka leo kuna vijiji vingi hamna hospitali, je afya za hao watu zinaangaliwa na nani? Jibu madaktari wa asili.
Mganga fulani akiwa tapeli haimanishi waganga wote ni matapeli hawana maana
π€£ π€£ π€£Nimemuuliza dada mmoja Muislamu kwa nini anaenda kwa Mwamposya akanijibu-.
Kule ni sawa na kwenda kwa mganga wa kienyeji badala ya kuitikia "tawire" huko wanaitikia "tumsifu bwana" na inaishia hapo.