Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye CPA anaanzia na TGS EWizarani na halmashauri muhasibu mwenye degree huanza na TGS D, 7.1k
Je, ukiwa na CPA kuna chochote kinaongeka?
Unamaanisha 9.4K ?Mwenye CPA anaanzia na TGS E
Sio kweli, Tafuta kitabu Cha miongozo ya kiutumishi.Yaani CPA hawazingatii kabisa kwenye mshahara unaweza ukala TGS D wakati una CPA wakati mwenzako hana CPA anakula mshahara mkubwa kuliko mwenye CPA
950,000Unamaanisha 9.4K ?
Hiyo ni kwenye makaratasi. Kwenye uhalisiaSio kweli, Tafuta kitabu Cha miongozo ya kiutumishi.
Mwenye CPA hawezi kulipwa sawa na asiyekuwa nayo.
Degree+CPA ni Muhasibu
Degree Only ni Afisa Hesabu.
Hiyo ni kwenye makaratasi. Kwenye uhalisia
diploma + Uzoefu ni mshahara mnono
Degree + Uhasibu - Uzoefu ni sifuri
Degree + Uhasibu + uzoefu ni mtaalam mwenye pesa zake anayeheshimika sana.
Tatizo ni kupenya ili uupate huo uzoefu. Kwenye kupenya haijalishi una diploma, digrii, cpa au nini ww penya kwanza.
Ni move sahihi sababu ni elimu na atakapopata nafasi akapata uzoefu atakuwa na faida ya kutokurudi shule kuitafuta CPA. Ila before that au kama hatapata nafasi ya ajira umuhimu wake utakuja akiwa CPA-PP na akawa na akili ya kutengeneza soko. Kinyume na hapo ni ujinga tu na kapoteza muda.Je fresh graduate alieunganisha na CPA ni bold move au inakuwaje?
Ni move sahihi sababu ni elimu na atakapopata nafasi akapata uzoefu atakuwa na faida ya kutokurudi shule kuitafuta CPA.
Hii naona umeongelea zaidi kwenye mashirika binafsi na taasisi za serikali. Ila wizarani na halmshauri hata kama ulikuwa na uzoefu wa miaka 20 ukianza kazi lazima uanze chini kama freshHiyo ni kwenye makaratasi. Kwenye uhalisia
diploma + Uzoefu ni mshahara mnono
Degree + Uhasibu - Uzoefu ni sifuri
Degree + Uhasibu + uzoefu ni mtaalam mwenye pesa zake anayeheshimika sana.
Tatizo ni kupenya ili uupate huo uzoefu. Kwenye kupenya haijalishi una diploma, digrii, cpa au nini ww penya kwanza.
Aisee.... Mtu mwenye uzoefu wa miaka 20 ana umri wa miaka mingapi? kwann akaajiriwe kama fresh graduate na wizara/almashauri na fresh graduate wapo? Na ni mazingira gani yatamfanya awe kwenye nafasi ya kulikubali hilo? Halafu ukishakuwa na uzoefu unakuwa na soko binafsi pia, si rahisi mtu kuruhusu hiyo hali. Wewe unamfaham mtu mwenye uzoefu miaka 20 akaja kuajiriwa akaanza upya kama mtu aliyetoka chuo/graduate?Hii naona umeongelea zaidi kwenye mashirika binafsi na taasisi za serikali. Ila wizarani na halmshauri hata kama ulikuwa na uzoefu wa miaka 20 ukianza kazi lazima uanze chini kama fresh
OkAisee.... Mtu mwenye uzoefu wa miaka 20 ana umri wa miaka mingapi? kwann akaajiriwe kama fresh graduate na wizara/almashauri na fresh graduate wapo? Na ni mazingira gani yatamfanya awe kwenye nafasi ya kulikubali hilo? Halafu ukishakuwa na uzoefu unakuwa na soko binafsi pia, si rahisi mtu kuruhusu hiyo hali. Wewe unamfaham mtu mwenye uzoefu miaka 20 akaja kuajiriwa akaanza upya kama mtu aliyetoka chuo/graduate?
tafuta mshahara wa CPA anaefanya kazi halmashauri hlf tafuta mashahara wa CPA anaefanya kazi TANAPA au TPA uone utofaut wa mishahara wakati level ya elimu sawaYaani CPA hawazingatii kabisa kwenye mshahara unaweza ukala TGS D wakati una CPA wakati mwenzako hana CPA anakula mshahara mkubwa kuliko mwenye CPA
Ndicho nilichomaanisha hikitafuta mshahara wa CPA anaefanya kazi halmashauri hlf tafuta mashahara wa CPA anaefanya kazi TANAPA au TPA uone utofaut wa mishahara wakati level ya elimu sawa
bongo hii mishahara ya halmashauri na taasisi zilizo chini ya tamisemi ni kidocho sana
tafuta mshahara wa CPA anaefanya kazi halmashauri hlf tafuta mashahara wa CPA anaefanya kazi TANAPA au TPA uone utofaut wa mishahara wakati level ya elimu sawa
bongo hii mishahara ya halmashauri na taasisi zilizo chini ya tamisemi ni kidocho sana