ACCOUNTANTS AND AUDITORS (REGISTRATION) ACT isome hio mkuu nadhani utaelewa au omba ueleweshwe shida ni kwamba HRs wengi ni very ignorant na ndio maana huwa wanatumia hio statement, ama hutumika kumaani hawahitaji mtu mwenye CPA, ila akijitokeza atapewa kipaombele. ukae ukijua kuwa CPA ni basic requirement ya Accountant nasio added advantage, nadhani huwa wanaitumia hio lugha pasipo wao wenyewe kuielewa, na hii lugha hutumika tuu kwa wale ambao hajasoma CPA, sheria haimtambui mtu yeyote asiye na CPA kama mhasibu, haijalishi awe na uzoefu au laa, na hata mtu akiwa na CPA bado inamtaka kuendelea kusoma na kujifunza maswala mbalimbali kuhusu uhasibu kwani taaluma ambayo misingi na mifumo ya kupractice huwa inabadilika mara kwa mara. na ndio maana huwezi funga hesabu bila kuwa na mhasibu mwenye CPA, Kuna majukumu ya uhasibu huwezi mpa mtu asiyena CPA kisheria hairuhusiwi, na ndio maana wenye CPA hujikuta wanalipwa zaidi kuliko wasio na CPA kwa ajili ya majukumu watakayolazimika kuyabeba.
Kpmg, delloite, pwc, ernst and young. Ina madogo kibao hawana cpa ila wapo nondo sana. Na ndio hao hao wanaopata nafasi kubwa za kihasibu sehemu kibao.
Mfano yule CEO wa NMB bank amefanya kazi pwc miaka 10 na hajasoma cpa ya kibongo amesoma ACCA ila standard chartered wakampa u chief financial officer na alivyohamia NMB akapewa u CFO na then u CEO..
Kuna sehemu ukifanya kazi hata kama huna CPA unakuwa unajua kazi.
Na huko wanakushauri ufanye ACCA sababu ya international assigments kazini