Kuna tofauti gani ya maslahi kati ya muhasibu mwenye CPA na asiye na CPA?


Kpmg, delloite, pwc, ernst and young. Ina madogo kibao hawana cpa ila wapo nondo sana. Na ndio hao hao wanaopata nafasi kubwa za kihasibu sehemu kibao.

Mfano yule CEO wa NMB bank amefanya kazi pwc miaka 10 na hajasoma cpa ya kibongo amesoma ACCA ila standard chartered wakampa u chief financial officer na alivyohamia NMB akapewa u CFO na then u CEO..

Kuna sehemu ukifanya kazi hata kama huna CPA unakuwa unajua kazi.

Na huko wanakushauri ufanye ACCA sababu ya international assigments kazini
 
anaweza kuwa na ACCA so iyo CPA ni bongo tu
 
Enyi vijana wa fani hii ya uhasibu someni CPA
Narudia CPA .CPA u will thanks me later

Hzo mishara zenu za serekali hmn kitu kbsa
Niko na mtu hapa alalipwa milioni 2 na laki nane ktk kampuni Moja hapa dsm Ana CPA 2017
Mwingine Ni finance manager ktk kampuni hyo hyo anakunja milion 13 kwa mwez na kila kitu kapewa pia
Hapo mwingine Ni chief finance officer ktk kampuni fln Ni CPA holder anakunja m 15 kwa mwezi


Sasa nyinyi endeleeni kuangaika na sijui tgd sijui rang gan

Soma cpa tafuta Kaz ktk makampuni au mashirik ya umma Kama tanesco .coz RFO tu tanesco yaani regional finance officer anakunja milion tano HV

CPA Soma hata Kama hkn ajira ila ukipata with six months tu umebadilikA kimaisha
 
Ni taaluma gani isiyobadilika mara kwa mara mkuu na ni taaluma gani isiyohitaji kupractise mara kwa mara?
 
Bro jiangalie sana,kila taaluma zinabadilika inategemea unazungumzia mabadiliko gani ila hayo ya hatua za kuchukuliwa hapanaaa
 
NBAA wangejiunga JF watoe ufafanuzi zaidi...
 
CPA umuhimu wake ni kama upo serikalini utakuwa na cheo cha Mhasibu . Na kama huna CPA utaitwa Afisa Hesabu na maslahi mtatofautiana .
 
Wizarani na halmashauri muhasibu mwenye degree huanza na TGS D, 7.1k

Je, ukiwa na CPA kuna chochote kinaongezeka?
Mtu mwenye CPA + degree na degree plain mkianza kazi mwenye CPA anaanza na.mshahar mkubwa
 
CPA kafanya 2005...
 
Mtu akiwa na CPA ni rahisi sana kupanda daraja na kuja kua Head wa department.

Afu kingine,Mwenye CPA anakua na soko kubwa la ajira sehemu nyingine tofauti na asiye CPA.

Kumbuka CPA holder ndio Muhasibu na Non CPA holder ni Afisa Mahesabu.

[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…