Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
Tupeni tofauti yake na sisi tuwape elimu tulio nao mitaani huku
Manyanza zitto junior MALCOM LUMUMBA Kiranga
Manyanza zitto junior MALCOM LUMUMBA Kiranga
Kwa hiyo comment yake hapo juu pichani ni mapichapicha ni bora angesema kwa lugha ya katiba ya miaka 60 kua, deni la taifa ni lile ambalo tanzania inakopa nje na deni la serikali ni madeni ya serikali inavyo kopa kwenye taasisi binafsi kama mabenk ya ndani na mengineyo, ila huo mkorogo wa TRABs na TRATs alio upiga hapo juu, ni ngumu watu wengi kuuelewa, kwa nilichoelewa hicho alicho andika ni kwamba, DENI LA SERIKALI NI DENI LA TAIFA , ila ndio kaliwekea maneno maneno ambayo hayaelewekiYa ya ya ya ya ya ya sawa mkuu 😅