Kuna tofauti ipi kati ya Deni la Taifa na Deni la serikali wasomi tupeni elimu

Ya ya ya ya ya ya ya sawa mkuu 😅
Kwa hiyo comment yake hapo juu pichani ni mapichapicha ni bora angesema kwa lugha ya katiba ya miaka 60 kua, deni la taifa ni lile ambalo tanzania inakopa nje na deni la serikali ni madeni ya serikali inavyo kopa kwenye taasisi binafsi kama mabenk ya ndani na mengineyo, ila huo mkorogo wa TRABs na TRATs alio upiga hapo juu, ni ngumu watu wengi kuuelewa, kwa nilichoelewa hicho alicho andika ni kwamba, DENI LA SERIKALI NI DENI LA TAIFA , ila ndio kaliwekea maneno maneno ambayo hayaeleweki

Atakae elewa na mimi anieleweshe
 
Neno ni moja ila sentensi halisi ni Deni la Serikali na siyo Deni la Taifa, sisi hatuhusiki katika hilo linawahusu mbogamboga na serikali yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…