Kitale sio mchekeshaji labda bwakila na mkude simbaUyo kitale muondoe pia
Wote hao mkuu hamna kitu ni waganga njaa tuu..Kitale sio mchekeshaji labda bwakila na mkude simba
Nakubaliana, wale jamaa wa mizengwe kipindi chao huwa kinavutia sanaBongo wanaonichekesha ni
1. Majuto
2. Joti
3. Braza K
4. Jamaa yule wa mizengwe huwa yuko serious
Naomba kuongezea:Mchekeshaji TZ ni Mzee Majuto peke yake. Halazamiki kuvaa matambala, kupaka wanja, kuvaa gauni au kujifanya chizi. He is talented
Nakubaliana nawewe kuhusu mkwere timu nzima ya mizengwe. Joti kuna wakati huwa ananichekesha lkn akishavaa nguo za kike na kupaka wanja huwa nasikia kichefuchefu kabisa baadala ya kucheka nachukia.Naomba kuongezea:
Joti
Mpoki
Mkwere na mzee mmoja hivi huwa wanaigiza na mkwere ITV
Nyie ndio mnamdanganya jamaa kuwa anaweza kitu ambacho sio kweli,anajaribu kutumia nguvu kubwa kuchekesha lkn wap,Idris huwezi kumfananisha na mzee majuto,majuto yupo vizur hatumii nyiiingi kukuchekesha akitamka neno lzm ucheke hata yupo serious kiasi ganHuyo mzee Majuto mi hanichekeshagi kabisaa ki ukweli. Idris kuna mambo yake yananichekesha. Anyway we differ
Hahhaha mi hua napenda zaid professa hamo akiimba...burudani sana ile showZaidi ya huyo awepo Professa Hamo na Mammito, siku yako itakuwa poa sana.
King Majuto kuna siku nimepishana kapanda taxi kariakoo nilijikuta tu naangua kicheko ile kumuona!DAAAH HAWA WACHEKESHAJI WA SIKU HIZI WANATUFANYA TUENDELEE KUA NA MZEE MAJUTO MMOJA TU KUWAHI TOKEA
Huyu Mzee kajaaaliwa haswaaa,hahitaji kuvaa gauni gagulo,kujipaka masinzi wala bonge la tumbo ili kumchekesha MTU
Hayo matamanio wengi tunayoNataman atokee mtu azifanyie remake zile mambo