Kuna tofauti kubwa ya uchekeshaji na ufanyaji ujinga Idris Sultan ni mfanya ujinga sio mchekeshaji

Kuna tofauti kubwa ya uchekeshaji na ufanyaji ujinga Idris Sultan ni mfanya ujinga sio mchekeshaji

Idris sijawahi kumkubali hata kidogo!

Alipata mkwanja akauchezea,
Usipokua na nidhamu ya maisha basi siku zote wewe utakua ni mtu wa kuhangaika tu bila kujua unakwenda wapi?!
 
Huyu Idriss na Mc Pilipili wanaforce fani ya uchekeshaji kanisa. Yaani hawajui kabisa kbisa
 
Huyo mzee Majuto mi hanichekeshagi kabisaa ki ukweli. Idris kuna mambo yake yananichekesha. Anyway we differ
 
Mchekeshaji TZ ni Mzee Majuto peke yake. Halazamiki kuvaa matambala, kupaka wanja, kuvaa gauni au kujifanya chizi. He is talented
Naomba kuongezea:
Joti
Mpoki
Mkwere na mzee mmoja hivi huwa wanaigiza na mkwere ITV
 
Naomba kuongezea:
Joti
Mpoki
Mkwere na mzee mmoja hivi huwa wanaigiza na mkwere ITV
Nakubaliana nawewe kuhusu mkwere timu nzima ya mizengwe. Joti kuna wakati huwa ananichekesha lkn akishavaa nguo za kike na kupaka wanja huwa nasikia kichefuchefu kabisa baadala ya kucheka nachukia.
 
Huyo mzee Majuto mi hanichekeshagi kabisaa ki ukweli. Idris kuna mambo yake yananichekesha. Anyway we differ
Nyie ndio mnamdanganya jamaa kuwa anaweza kitu ambacho sio kweli,anajaribu kutumia nguvu kubwa kuchekesha lkn wap,Idris huwezi kumfananisha na mzee majuto,majuto yupo vizur hatumii nyiiingi kukuchekesha akitamka neno lzm ucheke hata yupo serious kiasi gan
 
Nkitaka kucheka nmeshahamia Churchill ya Kenya.
 
DAAAH HAWA WACHEKESHAJI WA SIKU HIZI WANATUFANYA TUENDELEE KUA NA MZEE MAJUTO MMOJA TU KUWAHI TOKEA

Huyu Mzee kajaaaliwa haswaaa,hahitaji kuvaa gauni gagulo,kujipaka masinzi wala bonge la tumbo ili kumchekesha MTU
King Majuto kuna siku nimepishana kapanda taxi kariakoo nilijikuta tu naangua kicheko ile kumuona!
 
hawa wote siwajui wanapatikana wapi najua majuto na kinyau tu.
 
Back
Top Bottom