Labda jibu ni ndio au sio.Wadau wa ujenzi nilikuwa nahitaji madirisha ya aluminum ila kuna mdau moja anayehusika amenijibu kuwa bei dirisha la aluminum ya rangi ya silver nitofauti na ya rangi nyeusi na kwamba nyeusi ni ghali, je kuna ukweli hapa au ni upigaji,
Nawasilisha anayefahamu anisaidie
Dirisha la 6ft x 5ft upvc bei yake ikoje?Habari, Iko hivi, Aluminium profile inategemea na kampuni, rangi, size, kwenye vioo pia zipo aina nyingi, pia vinatofautiana milimita, kwa hiyo bei haziwezi kufanana, hivyo basi kuna kampuni za chuma kama Emirates, Dubai, LN future, CAT, Bluebay, Royal. Pia vioo kuna vya China na Indonesia. Kwa hiyo ukiona quotation zimetofautina labda mwingine yuko juu na mwingine yuko chini ujue imeshapigwa hesabu kutokana na budget yako Boss, Profile ziko za rangi nyeupe, Bronze, Grey, Black, Silver Formaica. Hii ni hatua ya finishing unatakiwa uwe makini uchague kitu ambacho ni quality na durable, nyumba yako ionekane ya kisasa zaidi, karibu sana Mbezi Aluminium and Glass ufurahie huduma zetu na Ofa zetu kabambe. 0743664260/0684617585
Upvc 6ft*5ft iko hivi Single Glass ni laki tano na tisini, alafu Double Glass ni laki saba na nusu.Dirisha la 6ft x 5ft upvc bei yake ikoje?
Aisee balaaa....kumbe ujenzi nyoko.Upvc 6ft*5ft iko hivi Single Glass ni laki tano na tisini, alafu Double Glass ni laki saba na nusu.
Aisee, Hatari Sana, ujenzi siyo mchezo kiongozi, lazima ufunge mkanda kweli kweliAisee balaaa....kumbe ujenzi nyoko.
Ah wacha nile mbususu tuu kwanza kujenga nitajengewa nyumba yangu ya milele
Kabisa kabisa...so maana yake hapo ukiweka na gharama ya grill dirisha moja uandae 1millionAisee, Hatari Sana, ujenzi siyo mchezo kiongozi, lazima ufunge mkanda kweli kweli
Hii tamuuu....ndio hiinwanasema haipitishi sound au sio mtaalamDouble Glass inakua hivi
Ndio Tajiri, hiyo ukiipiga mgeni akikutembelea lazima ashangae shangae kidogo, maana kipindi cha nyuma watu walikua wanadhani Upvc ni kwa ajili ya nchi za Ulaya zenye baridi kaliHii tamuuu....ndio hiinwanasema haipitishi sound au sio mtaalam
Ah wacha tuwaachie wenye hela zao sio wakuna pumbuz tutaweka kashata na nyavu maisha yanaenda.Ndio Tajiri, hiyo ukiipiga mgeni akikutembelea lazima ashangae shangae kidogo, maana kipindi cha nyuma watu walikua wanadhani Upvc ni kwa ajili ya nchi za Ulaya zenye baridi kali
Kwa vipato vya kawaida useme nyumba isimame moja Kwa moja ni mtihani, lazima uende kwa stepu wangine wanahamia hivo hivo alafu ujenzi unaendelea mdogo mdogoKabisa kabisa...so maana yake hapo ukiweka na gharama ya grill dirisha moja uandae 1million
Haya uje kwa fundi milango naye mlango wa mkongo anakwambia frame + top = 1 million.
Aisee kweli nyumba sio mali ya watu wote.
Haaaa haaaa, usiogope mkuu, Mambo yatakua mazuri huko mbeleni, unaweka ata mawili mawili, unajikuta mwisho wa siku umemaliza yote, na nyumba inang'aa kama white HouseAh wacha tuwaachie wenye hela zao sio wakuna pumbuz tutaweka kashata na nyavu maisha yanaenda.
Lazima jirani asikie ukiwa unashenyenta mbususu ya mrembo
Hii nayo akili...asante kwa kunitia moyo👍Haaaa haaaa, usiogope mkuu, Mambo yatakua mazuri huko mbeleni, unaweka ata mawili mawili, unajikuta mwisho wa siku umemaliza yote, na nyumba inang'aa kama white House