Kuna ubaya au uzuri gani wa kulisha mbwa nyama mbichi?

Mbwa ni canivore na chakula chake kikuu ni nyama na inatakiwa iwe mbichi.Hawa wa majumbani binadamu ndio tuliowatohoa nakuanza kuwapa zilizopikwa ila hiyo sio asili yake.
 
Waliona madhara ni makubwa wakizoea damu mbichi kesho watakula wewe
 
Swali zuri: hamna ubaya wowote,kwanza niku kumbushe tu mbwa asilia yake ni carnivores,hii tabia yaku pikia mbwa ni mazoea tu na sijui vyakula vya supermarket hayo ni mambo ya biashara tu.mie nina ozefu na swala hili nimeishi na mbwa wangu zaidi ya 10yrs hadi alipo kufa na uzee(kwa sasa sifugi kwa sababu ya mazingira yangu).
Zingati:1)kama ulikuwa ume mzoesha kimpikia au vyakula vya madukani,anza kuwa una mchanganyia na vipisi vya nyama mbichi ili azoe.(2)akizoea,nyama iwe idadi unayo jua atamiliza.nyama akibakiza ita aribika(bacteria) ,hapo ndipo ata pata magonjwa.(3)nyama nzuri nikama vile utumbo(usiuoshe),na nyama ingine.utumbo kwa kuwa yale majani walio kula(ngombe etc),pia ina muongezea vitamins.(4)si shauli samaki kwa ajili ya miba(labda utoe) au kuku wakizungu coz mifupa ni milaini ina weza msumbua kwenye meno.
FAIDA:1)Ni balance diety nzuri kwa mbwa,mifupa mibichi inavitamini pia na nzuri kufanya meno yake imara.(2)ina okoa mdaa wako na gharama(kupika nk)
*kumlisha mbwa wako nyama mbichi haimfanyi kuwa mkari au kula mifugo yako.

Binafsi napenda mbwa sana. Na nimejifunza tangu zamani lazima chakula cha mbwa kipikiwe
Sasa kuna clip naona mbwa wanalishwa chakula au nyama mbichi fresh tu. Je hii haina madhara kwene makuzi ya mbwa hasa wizi wa mifugo na udokozi

Back
Top Bottom