Kuna ubaya au uzuri gani wa kulisha mbwa nyama mbichi?

Kuna ubaya au uzuri gani wa kulisha mbwa nyama mbichi?

k
Kunenepa kwa Mbwa SIO kula Nyama Mbichi kunenepa kwa Mbwa ni kumpa Chakula cha kutosha kwa Wakati na kuzingatia asiugueugue ovyoovyo Mbwa akiugua afya yake inazorota anakonda sana na manyoya yanakosa muonekano mzuri
una mbwa sijui walikua wanaumea nn muda wote wamekonda hata upige sindano za minyoo wapi
 
Nmekuelewa Mkuu Ila Pitbull Bongo wamejaa kibao usisahau hilo, subiri nikuletee HIO Video Ila nimeshakupa Warning weka mbali na Watoto usiseme sikukuambia
Bro leta video, swala la pitbull hapa nimekujibu juu hapo.
 
Kunenepa kwa Mbwa SIO kula Nyama Mbichi kunenepa kwa Mbwa ni kumpa Chakula cha kutosha kwa Wakati na kuzingatia asiugueugue ovyoovyo Mbwa akiugua afya yake inazorota anakonda sana na manyoya yanakosa muonekano mzuri
Mlishe dagaa, Mchome dawa kwa wakati, aje kuwa kama wangu, nakupa bull dog bure tena jike. Namba zangu njoo uchukue PM. Acha ubishi wakipuuzi wewe jamaa. Huyo aliyekujibu sio mfugaji, kakwambia ana jamaa yake. Ila one of reason kaaonaa ni kulisha nyama mbichi of which of course yuko sahihi.
Alafu jua kuchambua mtu akisema kitu mzee.
Leta video hiyo nasubiri
 
Ebu tuoneshe hiyo breed mkuu!
shukran kwa hii comment kuhusu chakula cha mbwa! nadhan nimkupata vilivyo
Screenshot_20240529_101118_Chrome.jpg


Fanya ufuge hawa vijana halafu uwaache ache.

  1. American Bulldog
  2. Yugoslavian Shepherd Dog
  3. Anatolian Shepherd Dog
  4. Central Asian Shepherd Dog
  5. Caucasian Shepherd Dog
  6. Portuguese Sheepdog
  7. Fila Brasileiro (Brazilian Mastiff)
  8. Dogo Argentino
  9. Perro da ganado majorero
  10. Dogo Canario
  11. Pitbull and all its variants
  12. Portuguese Mastiff
  13. Rottweiler
  14. Tosa Inu
KUna mbwa zina kilo 100....
 
View attachment 3002639

Fanya ufuge hawa vijana halafu uwaache ache.

  1. American Bulldog
  2. Yugoslavian Shepherd Dog
  3. Anatolian Shepherd Dog
  4. Central Asian Shepherd Dog
  5. Caucasian Shepherd Dog
  6. Portuguese Sheepdog
  7. Fila Brasileiro (Brazilian Mastiff)
  8. Dogo Argentino
  9. Perro da ganado majorero
  10. Dogo Canario
  11. Pitbull and all its variants
  12. Portuguese Mastiff
  13. Rottweiler
  14. Tosa Inu
KUna mbwa zina kilo 100....
wenye ugonjwa wa kusahau ni hao namba moja?
 
Back
Top Bottom