Haya nijibu kwa serious kwa maono yangu,.
Kumlisha nyama mbichi mbwa huwa kwasababu, kwanza, anakua na mwili wenye nguvu(fatilia hii kwa mbwa. Wengi wanaokula nyama mbichi), Anakua na mwili wenye afya, hata maagonjwa huwa nadra sana kwake, anakua na manyoya yanayong'aa muda wote, meno meupe auu masafi, na hata utumbo wake unakua na uchakataji mzuri wa chkula kuhakikisha ukuaji wake bora.
Na pia, mbwa anayelishwa hivo sahau kumkuta kadaka kuku au kala nyama jikoni. Mbwa hana tabia hiyo. Au eti aje kumla binadamu. Yeye atakula kile tu anachopewa.