Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Acha bwanaa story hizi. Ongelea ukweli, hivi unafikiri mbwa nafuga mimi tu au baba yangu, 20% ya Watanzania wanafuga Mbwa hybrids tena kwa wingi. Marekani wanafika asilimia 44%. Hivi unadhani hizi kesi zingekua ngapi,Babu ingia YouTube au Google utapata MAJIBU au ingia Dark World kule Dark Web utafute video za watu wanaliwa na Mbwa HUKU watazamaji wanalipia kwa Bitcoin
Mbwa unaosema huko dark web ila mm sipajui sijui hizo stry za vijiweni. Labda wawe wameandaliwa kushambuliwa. Siio wamle mtu, wanakushambulia. Na hii haina haja ya kuwa na njaa. Hapa ni uwe mgeni machoni pake. Atakushambulia kadri ya wewe utavyopapatika mpaka ukae chini kimya na kwa utulivu. Ila haawezi kula nyama.