Kuna ubaya au uzuri gani wa kulisha mbwa nyama mbichi?

Haya nijibu kwa serious kwa maono yangu,.
Kumlisha nyama mbichi mbwa huwa kwasababu, kwanza, anakua na mwili wenye nguvu(fatilia hii kwa mbwa. Wengi wanaokula nyama mbichi), Anakua na mwili wenye afya, hata maagonjwa huwa nadra sana kwake, anakua na manyoya yanayong'aa muda wote, meno meupe auu masafi, na hata utumbo wake unakua na uchakataji mzuri wa chkula kuhakikisha ukuaji wake bora.

Na pia, mbwa anayelishwa hivo sahau kumkuta kadaka kuku au kala nyama jikoni. Mbwa hana tabia hiyo. Au eti aje kumla binadamu. Yeye atakula kile tu anachopewa.
 
Uzuri ni atashiba na anaweza kudigest vizuri tu ubaya ni siku akiwa na njaa halfu mkafungiwa chumba kimoja atakukula na wewe maana anaweza kula nyama mbichi.
Niliwahi kukatazwa kumpa Mbwa nyama isiyopikwa especially Mbwa Wakali wale wapo kwa ajili ya kung'ata ukimpa nyama Mbishi siku aking'ata akaonja damu ataanza kula anaweza akawatafuna hata watoto wako na Mkeo

Rejea tukio la Mwanza Mbwa aliua Mke na Mtoto wa Jamaa na akawatafuna na Jamaa aliporudi na yeye akataka amtafune mpaka Polisi walipoingilia Kati kuja kumpiga Mbwa Risasi ya Kichwa
 
Ukiona watu wanakwazwa na jambo na wanakuelekeza kuacha jitahidi kutumia akili na kuacha mizaha kuwaelewa, sio kila mtu anafurahishwa na upuuzi unaofanya.
Punguzeni hasira kenge nyie. Hutaki utani kufa. Huyo bwana yeye ni mtani tu, mmekaza ndio maana na mimi nimewakazia. Sio lazma utachochukia wewe kila mtu akichukie msifosi mambo, msitaffute wakuwashushia hasira zenu za maisha humu kwenye mitandao mbwa wewe mla nyama mbichi.
Huo ni utani ungeachana na comment moja ufate kilicho kuleta humu, mbwa wewe tena.
 
Na pia, mbwa anayelishwa hivo sahau kumkuta kadaka kuku au kala nyama jikoni. Mbwa hana tabia hiyo. Au eti aje kumla binadamu. Yeye atakula kile tu anachopewa.
Fanya tafiti zako vizuri Mtafiti bado hujakamilisha tafiti Mbwa ukimpa nyama Mbichi ni sawa unafuga Simba au Chui nyumbani kwako na siku ukikosea ukampa nyama yako atakutafuna
 
Niliwahi kukatazwa kumpa Mbwa nyama isiyopikwa especially Mbwa Wakali wale wapo kwa ajili ya kung'ata ukimpa nyama Mbishi siku aking'ata akaonja damu ataanza kula anaweza akawatafuna hata watoto wako na Mkeo

Rejea tukio la Mwanza Mbwa aliua Mke na Mtoto wa Jamaa na akawatafuna na Jamaa aliporudi na yeye akataka amtafune mpaka Polisi walipoingilia Kati kuja kumpiga Mbwa Risasi ya Kichwa
Boss hii story yako ya lini. Mbwa haawezi kukushambulia eti kisa akule nyama hapana. Big no. Lete hii story kwanza. Tusione upotoshaji.
 
Punguzeni hasira kenge nyie. Hutaki utani kufa. Huyo bwana yeye ni mtani tu, mmekaza ndio maana na mimi nimewakazia. Sio lazma utachochukia wewe kila mtu akichukie msifosi mambo, msitaffute wakuwashushia hasira zenu za maisha humu kwenye mitandao mbwa wewe mla nyama mbichi.
Huo ni utani ungeachana na comment moja ufate kilicho kuleta humu, mbwa wewe tena.
HUYO ana-force kuchekesha kitu ambacho SIO cha ku-force
 
Fanya tafiti zako vizuri Mtafiti bado hujakamilisha tafiti Mbwa ukimpa nyama Mbichi ni sawa unafuga Simba au Chui nyumbani kwako na siku ukikosea ukampa nyama yako atakutafuna
Sio kweli, naishi na aina tatu ya mbwa , mwaka wa 22 sasa. Na nalisha nyama. Nimekaa na mbwa toka tupo toure drive baba yangu mzazi annawafuga niko na miaka 8, mpaka sasa ni mtu mzima nina wangu, na baba yangu bado anafuga. Nyama mbichi aihusiani kabisa, na mbwa kumshambulia mtu. Zpo sababu tofauti.
 
Pita YouTube na Google kwa msaada zaidi utapata majibu ya kutosha, hivi ushawahi ONA zile Clip za watu weusi wakiliwa na Mbwa HUKO Uarabuni wanatafunwa na kularuliwaraliwa au hujawahi kuziona? Mpaka watu wakawa wanapiga kelele watu wasiende HUKO anafunguliwa Mbwa mwenye njaa anaanza kukushughulikia
 
Back
Top Bottom