Kuna ubaya gani kumwita mtoto wako jina lucifer

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Kulingana na maandiko matakatifu, Lucifer maana yake ni " The Light Bringer ", " The Morning Star ". Kuna ubaya gani nikimuita mtoto wangu wa kiume jina Lucifer?... Kuna maelfu ya watu ambao wamefanya maovu mengi duniani lakini majina yao bado yanatumika ( i mean kuna watu wanawaita majina watoto wao after those people ), E.g Hitler e.tc

Kama hiyo haitoshi kuna watu wanawaita watoto wao majina ya bible characters ambao hawakuwa na reputation nzuri, mfano; Delilah, Cain, Baraba, Yuda and Jezebel kwa kutaja machache.

Vilevile wapo watu wanawaita watoto wao majina ya demons eidha kwa kujua au kuto kujua: Mfano; Lilith, Sasha, Maimuna e.t.c

Pia kuna watu wanatumia jina la Lucifer ambalo limebadilishwa tu speling mfano : Luke, Lucien, Lucian, Lucius, Lucious, Lucianus, Luca or Lucas, Lucy or Lucia

In addition to that, jina lingine la LUCIFER ni SAMUEL..

Swali langu kwenu, mnalizungumziaje suala la kumuita mtoto wa kiume jina Lucifer.
 
kama unalipenda hilo jina we muite tu mtoto wako
hakuna kosa
 
Duh, mkuu naona unatumia nguvu nyingi kujustify, we mpe tu kama moyo wako umeridhia, No complaints
 
mmmh mkuu....noja nifanye uchunguzi kwanza maana najua wale wahispania jina la jesus linatumika vizuri tu
 
Kulingana na maandiko matakatifu, Lucifer maana yake ni " The Light Bringer ", " The Morning Star ". Kuna ubaya gani nikimuita mtoto wangu wa kiume jina Lucifer?... Kuna maelfu ya watu ambao wamefanya maovu mengi duniani lakini majina yao bado yanatumika ( i mean kuna watu wanawaita majina watoto wao after those people ), E.g Hitler e.tc

Kama hiyo haitoshi kuna watu wanawaita watoto wao majina ya bible characters ambao hawakuwa na reputation nzuri, mfano; Delilah, Cain, Baraba, Yuda and Jezebel kwa kutaja machache.

Vilevile wapo watu wanawaita watoto wao majina ya demons eidha kwa kujua au kuto kujua: Mfano; Lilith, Sasha, Maimuna e.t.c

Pia kuna watu wanatumia jina la Lucifer ambalo limebadilishwa tu speling mfano : Luke, Lucien, Lucian, Lucius, Lucious, Lucianus, Luca or Lucas, Lucy or Lucia

In addition to that, jina lingine la LUCIFER ni SAMUEL..

Swali langu kwenu, mnalizungumziaje suala la kumuita mtoto wa kiume jina Lucifer.

hakuna ubaya kwani wewe unaonaje juu ya hilo..
 
Mbona safi tu.kuna watu wanajiita bikra Maria na wakati huo __-_-__-_
 
muite tu kama umelipenda lakin niko sure mtoto wako uko mbele atakulaani sana
 
kuna jamaa angu anaitwa HERODE tena ni mwalimu. aka mwl Herode
 
Back
Top Bottom