Nahisi harufu ya kuabudu shetani inakusogelea. Kifupi toka agano la kale kibiblia jina lina maana yake hasa, na kila unachomtakia mtu toka utoto kina athari zake ktk maisha yake yote. Ndo maana watoto walipewa majina ya watu wenye sifa fulani nzuri ktk ukoo. Hata Yohani mb walitaka kulikataa kwani hakukuwa na mwenye hilo jina. Tukija kwako kwa vile liliishaharibiwa na mhusika wa kwanza na umeonyesha dhahiri unajua nini alifanya sielewi unajisikiaje kumpa mtoto wako jina la mtu aliyeasi na kujiinua juu ya Mungu akitaka kupewa utukufu sawa na Muumba kama si wewe kumtoa wakfu au kama heshima yako kwa huyu Lucifer. Nikimpa mtoto jina la babaangu, kakaangu ni kuheshimu mazuri ya huyu mtu. In short ni kama nimetaka awe role model kwake. Akikua atauliza jina lake alipewa kwa nini? Kama wamuona ni nuru hata Yesu ni nuru, why Lucifer, mwite Lightness, Nuru vyovyote ila sio huyo mwasi!