Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kilichofanyika Magomeni Kota inabidi iwe mwongozo. Kama waliweza kuvunja zile nyumba na wakajenga za kisasa na wakazi wa awali wakapata nyumba basi inawezekana kufanya kwingine.Ipo haja ya serekali yetu kuona umuhimu wa suala hili, kwa ni eneo ambalo lipo kilometre chache sana kutoka city center, linastahili kuwa upgraded n kufanana na maeneo ya upanga na kwingineko, pia ni eneo ambalo linaeweza kupangwa tukapata kariakoo 2,mpangilio wa ujenzi ufanywe kwa wenye maeneo yao mradi utakapomalizika wapatiwe nyumba zao permanent na hati zao.
Kigamboni satellite city haijawahi kujengwa wala kuuzwa viwanja. Ule ulikuwa mradi ambao ungeondoka makazi holela maeneo ya Vijibweni (sehemu nzuri sana,location,lakini imejengwa holela). Wakazi wa eneo hilo wangepewa nyumba kama walivyofanya Magomeni Kota. Ni location nzuri sana ila imegeuka slum.Mzee Matola umenikumbusha Kigamboni satellite city, viwanja viliuzwa sana.
Haisee yapo magorofa mengi kweli njia ya kuelekea mwembemdogo magenerator ma concrete mixer yametelekezwa pale haisee sijui nani aliukwaza mradi ule ambao ungekamilika unge kuwa na tija sana japo kwaukweli kigamboni sipapendi kwa moyo wangu wote!Kigamboni satellite city haijawahi kujengwa wala kuuzwa viwanja. Ule ulikuwa mradi ambao ungeondoka makazi holela maeneo ya Vijibweni (sehemu nzuri sana,location,lakini imejengwa holela). Wakazi wa eneo hilo wangepewa nyumba kama walivyofanya Magomeni Kota. Ni location nzuri sana ila imegeuka slum.
Sijui kwa Nini Nina hamu Sana ya kumuona nzi, kiroboto, kunguni na chawa na macho Yangu mwenyewe naked eyes na isiishie hapo tu ning'atwe nao I feel the experience. Hapa nilipo Malibu hayapo haya madudu. Hata kwenye apartments zangu zingine Beverly Hills, Manhattan, Zurich na Geneva hayapo pia. Na uhakika hapo Kigamboni satellite city yatakuwepo tu am pretty sure believe me.Mzee Matola umenikumbusha Kigamboni satellite city, viwanja viliuzwa sana.
Jiwe the confuser.Haisee yapo magorofa mengi kweli njia ya kuelekea mwembemdogo magenerator ma concrete mixer yametelekezwa pale haisee sijui nani aliukwaza mradi ule ambao ungekamilika unge kuwa na tija sana japo kwaukweli kigamboni sipapendi kwa moyo wangu wote!
With political will. And such a leader who can do that in the great lakes region is none other than Mr Slim Paul Kagame. That dude has the will and authority to implement things. The problem with him he is a dictator.Idea nzuri sana inataka visionary leader kuimplement
Chalii angu njoo pande za Ambureni, Imbaseny,Kikatiti,Kikwe,King'ori ujionee miujiza 😄😄Sijui kwa Nini Nina hamu Sana ya kumuona nzi, kiroboto, kunguni na chawa na macho Yangu mwenyewe naked eyes na isiishie hapo tu ning'atwe nao I feel the experience. Hapa nilipo Malibu hayapo haya madudu. Hata kwenye apartments zangu zingine Beverly Hills, Manhattan, Zurich na Geneva hayapo. Na uhakika hapo Kigamboni satellite yatakuwepo am pretty sure believe me.
Ujenzi wetu wenyewe tunajitengenezea slamsKigamboni satellite city haijawahi kujengwa wala kuuzwa viwanja. Ule ulikuwa mradi ambao ungeondoka makazi holela maeneo ya Vijibweni (sehemu nzuri sana,location,lakini imejengwa holela). Wakazi wa eneo hilo wangepewa nyumba kama walivyofanya Magomeni Kota. Ni location nzuri sana ila imegeuka slum.
10% wakihakikishiwa washika dau mbona hilo linawezekana fasta tuuIpo haja ya serekali yetu kuona umuhimu wa suala hili, kwa ni eneo ambalo lipo kilometre chache sana kutoka city center, linastahili kuwa upgraded n kufanana na maeneo ya upanga na kwingineko, pia ni eneo ambalo linaeweza kupangwa tukapata kariakoo 2,mpangilio wa ujenzi ufanywe kwa wenye maeneo yao mradi utakapomalizika wapatiwe nyumba zao permanent na hati zao.
Mi napapendaHaisee yapo magorofa mengi kweli njia ya kuelekea mwembemdogo magenerator ma concrete mixer yametelekezwa pale haisee sijui nani aliukwaza mradi ule ambao ungekamilika unge kuwa na tija sana japo kwaukweli kigamboni sipapendi kwa moyo wangu wote!
Wangeunganisha na magomeni mzimuni na Kigogo yake.Huko umeenda mbali wangeanza na hapo mchikichini tu.
Even The late Magufuli could have done thatWith political will. And such a leader who can do that in the great lakes region is none other than Mr Slim Paul Kagame. That dude has the will and authority to implement things. The problem with him he is a dictator.