No way that dude was a reject. Alikuwa roho muaribifu. Au eti kwasabub ya kurukaruka hapa na pale kama swala na kufokafoka?!!Even The late Magufuli could have done that
Tunazungumzia mazuri mabaya Kila mtu anayo!No way that dude was a reject. Alikuwa roho muaribifu. Au eti kwasabub ya kurukaruka hapa na pale kama swala na kufokafoka?!!
Magonjwa Mtambuka
Huo mradi bora upelekwe Dodoma hukoIpo haja ya serekali yetu kuona umuhimu wa suala hili, kwa ni eneo ambalo lipo kilometre chache sana kutoka city center, linastahili kuwa upgraded n kufanana na maeneo ya upanga na kwingineko, pia ni eneo ambalo linaeweza kupangwa tukapata kariakoo 2,mpangilio wa ujenzi ufanywe kwa wenye maeneo yao mradi utakapomalizika wapatiwe nyumba zao permanent na hati zao.
Yeah. Unawajengea nyumba za kisasa halafu wanakaa free mwaka m'moja then Booom unawapa bili halisi ya kuishi kwenye flats....Kilichofanyika Magomeni Kota inabidi iwe mwongozo. Kama waliweza kuvunja zile nyumba na wakajenga za kisasa na wakazi wa awali wakapata nyumba basi inawezekana kufanya kwingine.
Hamna baaanaaa Jiwe kwa vyovyote vile hafai hata akitetewaje!Tunazungumzia mazuri mabaya Kila mtu anayo!
Tayari umeshavuta afghan (ile nyeusi)?No way that dude was a reject. Alikuwa roho muaribifu. Au eti kwasabub ya kurukaruka hapa na pale kama swala na kufokafoka?!!
Magonjwa Mtambuka
Vingunguti ni eneo ambalo watu wake baadhi wana title deeds, hivyo hekima ni mwekezaji atakapopatikana kila mwenye deeds awe na haki ya kupatiwa nyumba free permanent!Yeah. Unawajengea nyumba za kisasa halafu wanakaa free mwaka m'moja then Booom unawapa bili halisi ya kuishi kwenye flats....
Umeme, takataka, ulinzi, usafi, maji, etc, wenyewe wataomba pooo watawapisha wakishua eneo litastaarabika.....
Kiukweli kigamboni kumekaa kushoto mno ingawa wapo wanaopapenda kweli, kwa vingunguti sikumaanisha serikali inunue nyumba ya mtu, nikimaanisha serekali ichukuwe hati za wenye nyumba, ijenge majengo ya makazi na kibiashara and then kila hati iliyochukuliwa irejeshwe kwa muhusika na apartment yake. Ili ku upgrade eneo hilo., kwa utafiti wangu buguruni inaweza kuwa kariakoo 2,. Ukizingatia tayari ina njia 4 kubwa, zinazotawanyika kila pahala.Kama tumeshindwa kuijenga New Dar town Kigamboni basi hayo mengine sahau hayawezekani, gharama ya Kigamboni ilikuwa ni kununuwa mashamba tu ya watu, ila vingunguti ni kununuwa nyumba za watu. Huo ni mradi usiokuwa na tija.
Pmm ndiyo yule mama? tajiri wa kihaya?apewe tu lakini asijaze magodawn.Mkuu pmm alitaka hayo maeneo lkni kwa hila za mwendazake na lukuvi walitubania wakasibwa buguruni tusiondolewe maeneo haya
Ukiwa ndani ya ndege ukachungulia eneo hili dirishani utaikana nchi yako kwa hizo bati zilivyo na kutu.... pabaki hivyo hivyo. Vingunguti na Kiwalani ndio malango ya wageni kuingilia nchini; ndege ni almost zinakuwa zimekaribia kugusa bati za mbanda ya maeneo hayo ambayo yanakuwa yanaonekana kwa uwazi kabisa kutokea juu angani.
Miradi hii wapewe wenye uwezo na serekali iwe guarantor na mkusanya kodi zake!Hapo bonde la msimbazi imebaki stori
Buguruni yote inatakiwa kujengwa kisasa mji umejiminya usikuwe vizuriIpo haja ya serekali yetu kuona umuhimu wa suala hili, kwa ni eneo ambalo lipo kilometre chache sana kutoka city center, linastahili kuwa upgraded n kufanana na maeneo ya upanga na kwingineko, pia ni eneo ambalo linaeweza kupangwa tukapata kariakoo 2,mpangilio wa ujenzi ufanywe kwa wenye maeneo yao mradi utakapomalizika wapatiwe nyumba zao permanent na hati zao.
Hapana,Jiwe alipenda vitu vizuri ila alichukia sana upigaji.Jiwe the confuser.