Mapenzi siyo ugomvi wala haimaniishi mapenzi yakiisha basi mnamkuwa na ugomvi.
Nimejifunza mengi sana kutoka kwa wanawake huwa hawafuti namba kwasababu wanajua mapenzi siyo ugomvi na pia kuna siku utakuwa na shida.
Kuwasiliana na ex siyo mbaya kama mnawasiliana kawaida kama rafiki ila ni mbaya kama bado mnawasiliana kimapenzi.
Iko hivi, unapolala na mwanamke unakuwa umeweka alama ya kudumu (umeweka tattoo, kuna maana kubwa sana kwenye ulimwengu wa roho kufanya ngono).
Naona hapo wewe ndiyo unatatizo na unaumia sana. Kama mliweza kufanya ngono, kuongea pamoja kwa upendo siyo mbaya kama mtakuwa mnawasiliana kawaida na kusalimiana.