Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

Makaveli una sound sijawahi kuona!!! 🀣🀣🀣
Itakuwa wadada wengi umewavua pichu kwa style hii!! πŸ™ŒπŸ™Œ
😳😳😳 Hamna mie ni mtubwa masihara tu.

Hapana kabisa, napinga kwa nguvu sana hilo, kama ikitokea we ndio utakuwa wa kwanza(joke) πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
😳😳😳 Hamna mie ni mtubwa masihara tu.

Hapana kabisa, napinga kwa nguvu sana hilo, kama ikitokea we ndio utakuwa wa kwanza(joke) πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Masihara ya nyookwe?? 🀣🀣🀣
Ko ukipewa hupiti shwaaa ✈️
 
Mimi hadi namba za marehemu kibao zipo hapo kwenye phone book sijawahi kuzifuta,za ma ex ndio nifute ili iwaje
 
Yah ni kweli ila Binti yule kokote aliko lolote limkute.
Nikifunguka na mimi yaliyonikuta kwa Ex wangu hapa hapatatosha

Ila sa hivi limezalishwa huko sijui hata lina shida gani linajipitisha ofisini na ndugu zake na shobo za hapa na pale

Uzuri ni kwamba linajua sa hv nipo na mtoto mkali zaidi yake maana huwa ananipitiaga ofisini

Kwanza tangu niwe na huyu wa sasa nanenepa
 
Tutafanya upandikizaji sio ya kugusanisha 🀣🀣🀣
Kugusanisha ndio watoto wanatoka skanganga, hawa watoto wa kwenye chupa utafikiri kahawa ndio hawa wanakuja kuwa mchele mchele..πŸ˜‚

Basi tutafanyia kwenye glory hole, haina kuonana wala kugusana chuchu.πŸ€£πŸ˜‚
 
Khaaaaa!! 🀣🀣🀣🀣
Makaveli mbavu zinaniuma kwa kucheka aiseee!!! Hivi unavutaga jani la wapi?
 
Back
Top Bottom