Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 651
- Thread starter
- #141
Yani mimi nateseka kwa kumueleza ukweli kwamba asinitafute tena katika maisha yake ? Kwani nilizaliwa nae ? Manan angekua ndugu yangu nisingeweza kusema vile lakini yule ni girlfriend tu tena wote tumekutana ukubwani tukiwa na meno 32.Huoni kama wewe ndiyo unateseka (unatatizo)? Katika maisha yako jifunze kusamehe na kuachilia mambo moyoni mwako.
Hapo sijaona ubaya wa huyo mwanamke kama anakupigia kukusalimia tu. Mapenzi siyo ugomvi mpk ushindwe kuongea naye.
Wanawake wanaishi miaka mingi kwasababu wanamoyo wa kusamehe, kutoweka chuki na pia kupuuzia mambo ndiyo maana wanawake hata ukiachana naye atabaki na namba yako na pia hata ukimpigia mtasalimiana na pia atakupuuza.
Umejaza chuki, usinitafute kwani wewe ni nani. Chuki inatafuna sana moyo na hata kujenga kisasi. Watu wa namna hii ndiyo wale utasikia amemuua mkewe, amejinyonga au kamuua mgoni wake.
Akikupigia mpokee msalimiane kawaida kwa upendo kisha endelea na mambo yako. Mapenzi siyo ugomvi kumbuka tayari umeweka alama ya moto.
Halafu kwasasa mimi nina mpenzi mwingine ambae kamzidi kila kitu kwa uzuri mpaka tabia sasa kwanini niharibu mahusiano yangu mapya kwa kuendelea kuwasiliana na ex ambae sihitaji chochote kutoka kwake ?
Mimi sina muda mchafu wa ku entertain ma ex sababu ex kwangu is nothing but an imbecile.
Hakua bora kipindi tuko kwenye mahusiano akawe bora wakati tumeshaachana ?
Halafu niwasiliane na ex ili kugundua nini labda ?