Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauri mzuriBUSARA NI KUTOINUNUA.
Kwa sababu jirani yako hapo yupo amepata matatizo ni matatizo kama msiba au huzuni.
Sasa wewe kama jirani au uliyekuwa jirani yake inatakiwa upnyeshe hisia za kuonyeshwa kuguswa sympathy kisikitika pamoja,kumfariji,kulia naye pamoja ndio UTU,au ubinadamu,au good morals na hasa kwa jamii zetu sisi watanzania tunaishi kijamaa nado tuna elements za kijamaa.
Hata kama hujahuzunishwa na yaliyompata jirani yako unaweza kuigiza kumsikitikia na kumpa pole au kumfariji hata kwa kuigiza.
Pia uki inunua bado kumbukumbu za jirani yako na pengine na yeye ataweza kifikiri,umetumia ule msemko wa KUFA KUFAANA,au umetake advantage au ulikuwa unaitamani au umefurahia matatizo yake.Sidhani kama yeye jirani yako atafurahia hilo.
UKIACHA BUSARA
,KISHERIA SIO KOSA,WALA HAKUNA MADHARA YOYOTE UKINUNUA.
Lakini mpaka umeamua kuuliza huku JF ina maana uko dilemma au kuna nafsi inakwambia usinunue nafsi nyingine inakwambia nunua.Ila maamuzi au umeshachagua upande moyoni mwako wa kununua au kutonunua,hapa unatafuta pengine justification au support ya kufanya kile ambacho umeshakiamua moyoni mwako.Fanya kile ambacho moyo wako utakuwa na amani na furaha,kadiri ya imani yako na utu wako na mahusiano yako na jamii yako.
Ongea na jiran yako kabla ya mnada akiridhia wazo lako, muuziane ili yeye aende kumalizana na Benki kabla ya mnada na salio linalobaki afutie machozi.Kuna ubaya wowote kununua nyumba ya jirani inayopigwa
Mnada na bank baada ya kushindwa kulipa mkopo
Haita leta uhasama?
Kwani nyumba ikipigwa mnada si pesa itakayo uzwa benki ikitoa chake na gharama za mnada kinachobaki siwanampa wenye nyumba?Ongea na jiran yako kabla ya mnada akiridhia wazo lako, muuziane ili yeye aende kumalizana na Benki kabla ya mnada na salio linalibaki afutie machozi.
Umeandika nilichotaka kumwambia, kudos mkuu!Ongea na jiran yako kabla ya mnada akiridhia wazo lako, muuziane ili yeye aende kumalizana na Benki kabla ya mnada na salio linalibaki afutie machozi.
Hapa mtaani kuna jirani benki ili piga mnada nyumba yake 40M , sasa kuna jirani mwingine aka nunua ile nyumba,baada yq siku kadhaa kupita yule jirani ambae alikopa benki ana msumbua jirani alie nunua ile nyumba ktk mnada ana muomba awe ana mlipa kidogo kidogo😇ame kataa na sasa anatafuta mteja maana anaona ana taka kujaziwa watuKuna ubaya wowote kununua nyumba ya jirani inayopigwa
Mnada na bank baada ya kushindwa kulipa mkopo
Haita leta uhasama?
Kwanza wanafanya figisu mpaka isifikie kiwango anachodaiwa. Pili, Ikitokea imezidi pale mnadani ukienda kudai utaambiwa mteja alikuja kufanya bargaining na unaweza letewa mkataba wa mauziano ambao bei iko chini.Kwani nyumba ikipigwa mnada si pesa itakayo uzwa benki ikitoa chake na gharama za mnada kinachobaki siwanampa wenye nyumba?
Kuna ubaya wowote kununua nyumba ya jirani inayopigwa
Mnada na bank baada ya kushindwa kulipa mkopo
Haita leta uhasama?
Nimejifunza kituHapa mtaani kuna jirani benki ili piga mnada nyumba yake 40M , sasa kuna jirani mwingine aka nunua ile nyumba,baada yq siku kadhaa kupita yule jirani ambae alikopa benki ana msumbua jirani alie nunua ile nyumba ktk mnada ana muomba awe ana mlipa kidogo kidogo😇ame kataa na sasa anatafuta mteja maana anaona ana taka kujaziwa watu