Sindano haipigwi konziNakushauri kama wewe ni mwanamme kweli,inunue nā umuombe akutafutie pesa yako taratibu hata kwa miaka mi5 umrudishie nyumba yake.
Ukifanya jambo kama Hilo litakupa heshima Hutaamini.
Wewe kama investor acha kusikiliza ushauri wa peasants. Kama huwezi inunua kwa sababu za kijamii, acha hiyo hela wekeza kwingine.Akikiuka makubaliano si itakula kwangu kama ameshindwa na bank kwangu si itakuwa vile vile
Nimekuuliza juu ya ushauri uliotoa. Au huelewi ulichoandika.Soma vizuri kichwa cha habari. Mtoa mada ameomba tu ushauri! Kwa hiyo ungejikita zaidi kwenye kutoa maoni, badala ya kutaka kutunishiana misuli.
Hakuna ubaya mkuu, mimi nilinunua alafu nikazungushia ukuta nikakaa kimya.Kuna ubaya wowote kununua nyumba ya jirani inayopigwa
Mnada na bank baada ya kushindwa kulipa mkopo
Haita leta uhasama?
Pesa yako bado ujitetee, unafiki ni mbaya sana kheri anunue au asinunue ila sio kupitia mlango wa nyuma na huku anamng'ong'a kisogoni.Haina shida yoyote ila kama unaona si utu kufanya hivyo moja kwa moja basi tumia mtu mwingine ainunue kwa niaba yako, hata akija kugundua baaada ya muda unaweza kumwambia aliyenunua alipata matatizo akanifuata nimkopeshe kwa maana ya kuweka nyumba dhamana mwishowe alishindwa kulipa akaniambia nimmalizie hela.
ni kweli chief,kuna nyumba moja miaka ya nyuma pale magomeni kuna mtu ali inunua nyumba kutoka kwa mtu. baada ya kuinunua akaifanya zahanati.Nilikuwa mnunuzi mzuri sana wa vitu vya minada.. LaKini baada ya kuanza kupata majanga nikaaza kuvifuatilia baadhi.. Kwakweli niliyokuja kukutana nayo yanatisha
Kuna vitu vimefanyiwa mazindiko na mhusika akashindwa masharti na hakutengua yale mazindiko.. Ukivinunua hivi vitu vinakuja na mazindiko yake
Kuna vitu vilifanyiwa ibada za mvuto na ulinzi halafu zikafeli.. Ukivinunua vinakuja na yale maroho yanayoshindana
Kuna vitu vimefanyiwa maapizi
Kuna vitu vimefanyiwa ushirikina.. Nk
Unaponunua kitu cha mnada sometimes ikibidi pata historia yake.. Ni muhimu sana usije kubeba ama kurithi madubwana yasiyokuhusu
Achana nayo tu mkuuhapana mkuu kila nikitaka kufanya hivyo nafsi inanikataa
Usije ukafanya hili kosa utajuta.Kama unauwezo basi mlipie deni jirani yako,then atakulipa taratibu
Acha woga shida ni zake. Nunua karabati pangishahapana mkuu kila nikitaka kufanya hivyo nafsi inanikataa
Kuna ubaya wowote kununua nyumba ya jirani inayopigwa
Mnada na bank baada ya kushindwa kulipa mkopo
Haita leta uhasam
Mkuu hapa ataingia mkenge. Kama Bank alishindwa kurejesha, saa ingine wanakulegezea mashart. Kwa mtu binafsi hataeeza. Assume huyo mtu anatolewa kwenye nyumba anayoishi na amekubali matokeo, ujue ameyumba sana kiuchumi.Inunue, halafu unamrudishia huyo jirani yako hiyo nyumba yake kwa makubaliano ya kukurejeshea hela yako kidogo kidogo! Na huo ndiyo ujirani mwema.
Ivi unawaju waswahili vizuri huwa hatupendi kuwajibika, Aidha ainunue iwe yake au aachane nayo. Ubaya ubwela.Nakushauri kama wewe ni mwanamme kweli,inunue nā umuombe akutafutie pesa yako taratibu hata kwa miaka mi5 umrudishie nyumba yake.
Ukifanya jambo kama Hilo litakupa heshima Hutaamini.