Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mpk machozi Loooh
Pole sana [emoji38] [emoji38] jamaa anajua thamani ya kitu anachotaka kukiaribu bwana kumbe kina kazi kwao tena kubwa tu.
 
Pole sana [emoji38] [emoji38] jamaa anajua thamani ya kitu anachotaka kukiaribu bwana kumbe kina kazi kwao tena kubwa tu.
Hilo ni jina tu na wala halina kazi hiyo kiuhalisia...

Mana nyie mnasema mwanamke hatakiwi kuwa nazo sasa je yeye mav yake ayakata kwa kitu gani???

Hilo ni jina tu mkuu na mav yanaweza kukatika bila hayo
 
utakua na tatizo
Tatizo gani mkuu wangu...mana ukisema kunyoa ndo unataka paka mafuta sioo kweli bali waweza paka mafuta na nywele zipooo..

Mfano kichwani twapaka mafuta na nywele zipo
 
Ukijua temperature inayoitajika ila testosterone ziwe active utajua zina umuhimu gani, biology advance.
 
Tatizo gani mkuu wangu...mana ukisema kunyoa ndo unataka paka mafuta sioo kweli bali waweza paka mafuta na nywele zipooo..

Mfano kichwani twapaka mafuta na nywele zipo

Na kichwani kama nywele ni ndefu husafishi vizur mba kibao.
 
Tatizo gani mkuu wangu...mana ukisema kunyoa ndo unataka paka mafuta sioo kweli bali waweza paka mafuta na nywele zipooo..

Mfano kichwani twapaka mafuta na nywele zipo
inshort kunyoa hizo nywele ni viashiria vya ushoga

shoga hunyoa ili akipumuliwa nywele zisimuumize yeye na mshenzi mwenzie

na sababu nyingine mdau ameshatoa pale juu

nadhani utakua umenipata
 
Hata wanawake wanazo mkuu sasa ..

Pia tujiulize kwa nini na kwapani kaweka na tunanyoa au kwapani tusijiulize mkuu??
Mungu aliiumba miilili yetu katika hali ya ukamilifu
Hivi vinyweleo havipo hapo kimakosa. Ukitaka kuona imuhimu wake kavikwangue leo alafua baada ya siku tatu utasimulia athari zake
 
Na kichwani kama nywele ni ndefu husafishi vizur mba kibao.
Mkuu si umeona eeeeh??

Sasa kama kichwani tu kunakotoa jasho pakiwa na nywele patoa mbaa je huko njia ya kutokea uchafu waacha nywele hawaa??
 
[emoji125] [emoji125]
 
Mkuu si umeona eeeeh??

Sasa kama kichwani tu kunakotoa jasho pakiwa na nywele patoa mbaa je huko njia ya kutokea uchafu waacha nywele hawaa??

Watanzania wameshavugwa kila jambo wanarihusha na UFIRAJI hata kama mtu una lengo la kutoa elimu ya usafi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…