Kuna ubaya mwenza wako akimtazama jinsia tofauti na yake

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
55,727
Reaction score
55,401
Wasalam ulifanyaje mwenza wako alipokuona uelekeo wa fikra zako na macho yako yapo kwa binti/ kijana anayepita ?

Kuna siku nimetulia sehemu wife akafuata kitu dirisha la huduma, ghafla kikakatiza chombo kwa mbali nikawa naki zoom naye sijui alistuka anaangaliwa akageuka.

Kumbe wife kasharudi sijamuona aliniambia kwa upole wazuri wanazaliwa kila siku nikamwambia kwa nini najibiwa naona mnavyoangaliana.

Ila kweli Mungu kaumba, VAR tu isikudake
 
Sema hiyo imekaa vizuri anajua kuwa akizungua , unao wakuwafuata.
 
Namwambiaga, wife unajua tunavoongozana sehem nawewe kama hivi unaninyima uhuru unafanya nishindwe hata kugeuka kuangalia wanawake wengine tunaokutana nao, ananijibu 'jiheshimu'
 
Unamkosesha raha shemeji wewe tazama kwa timing kali
 
Back
Top Bottom