jinsia tofauti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtoto halali na hela

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya mwenza wako akimtazama jinsia tofauti na yake

    Wasalam ulifanyaje mwenza wako alipokuona uelekeo wa fikra zako na macho yako yapo kwa binti/ kijana anayepita ? Kuna siku nimetulia sehemu wife akafuata kitu dirisha la huduma, ghafla kikakatiza chombo kwa mbali nikawa naki zoom naye sijui alistuka anaangaliwa akageuka. Kumbe wife kasharudi...
  2. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti?

    Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti ?
  3. haszu

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

    Nimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama ananilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba...
  4. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nauliza nani amewahi kupata rafiki au mpenzi jinsia tofauti na yake kwenye app za Tinder, Badoo au Bumpy

    Nauliza nani amewahi kupata rafiki au mpenzi jinsia tofauti na yake kwenye app za Tinder, Badoo au Bumpy
  5. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

    Leo nimewaza, kweli kutojuana kunatupa nguvu humu JF. Binafsi, nina uhakika wapo watu tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida ila ID zimetuficha. Hata huko kwenye replies watu wanavyotiana spana, inawezakana unabishana na boss wako na hujui. Wale wa kujidai huko PM, ndiyo basi tena. Hivi hakuna...
Back
Top Bottom