Utafanyaje mtu akikuhisi wewe ni jinsia tofauti na ulivyo?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Nimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama ananilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba msamaha kuwa amekosea, hakujua.
ila simlaumu sana mana bahati mbaya, sijajaliwa ndevu, mtu akiniangalia ikiwa imebaki kichwa tu, ni ngumu kujua kwa mtu asie nifahamu.
we ungerusha ngumi?
 
bora ww

Bora ww n wa kike mm daah kuna siku konda anadai chenji akanambia aya ww jamaa apo "mwenye sura kama umejambiwa na wachawi " nipe hela yangu.........daaaah it was so sad
 
1756324130458.png
 
Katika moja ya hekima na busara zangu nazoshukuru zimo kichwani ni kwamba siwezi kumjudge wala kumuhoji mtu kwa jinsi alivyo,
  • HAKUNA ANAEJIUMBA
  • KABLA HUJAFA HUJAUMBIKA
 
Nimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama ananilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba msamaha kuwa amekosea, hakujua.
ila simlaumu sana mana bahati mbaya, sijajaliwa ndevu, mtu akiniangalia ikiwa imebaki kichwa tu, ni ngumu kujua kwa mtu asie nifahamu.
we ungerusha ngumi?
Sasa utarushaje ngumi na wewe una vinasaba vya ke. Kua mpole tu
 
Back
Top Bottom