Hii alikua anaongelea nini? Au mme edit?
Hivi testosterone sio male hormone?Testosterone imezidi au we ni upinde
😂😂😂 dahUtatakiwa kuacha huo ufala mara moja, mtu hawez tu from nowhere kukuchanganya jinsia. Something must be very very wrong with you
Katika moja ya hekima na busara zangu nazoshukuru zimo kichwani ni kwamba siwezi kumjudge wala kumuhoji mtu kwa jinsi alivyo,
- HAKUNA ANAEJIUMBA
- KABLA HUJAFA HUJAUMBIKA
Hii avatar yako ni picha yako umetengenezewa na chatpt?Kheri yako wee wenye utambuzi na ufahamu huo.
Hawa wengine washajihesabia haki. LOL
Dah.Tushachelewa mkuu.
Hili ni tangazo la kuuza mavi nimeshtuka kmmk😤😤😤Nimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama ananilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba msamaha kuwa amekosea, hakujua.
ila simlaumu sana mana bahati mbaya, sijajaliwa ndevu, mtu akiniangalia ikiwa imebaki kichwa tu, ni ngumu kujua kwa mtu asie nifahamu.
we ungerusha ngumi?
huyu tumechelewa MKUU....hatuna budi kulia msiba mapema,..😭😭😭Hivi tukimuwahi huyu anapona kweli Wakuu?