Super mega
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 1,176
- 2,372
Dah shahawa zishakulegeza mwili adi umekua wa kike kike ushalegea weye.,,huu msiba mbona
Ah tushachelewa ni wastage ya time tuu.Hivi tukimuwahi huyu anapona kweli Wakuu?
Lakini pia huwa ana threads nyingi sana za kujisifia kuwa yeye ni mzuri.Tayar huyu kesha left group, kuja tu humu na kuanzisha mada kama hii ni uthibitisho tosha
Kwanini? 😂😂😂😂Hii avatar yako ni picha yako umetengenezewa na chatpt?
Ndevu huna unategemea nini? vipi ukisimama kwa nyuma upoje? usikasirike ndo tunaangalia tukusaidiaje mkuuNimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama ananilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba msamaha kuwa amekosea, hakujua.
ila simlaumu sana mana bahati mbaya, sijajaliwa ndevu, mtu akiniangalia ikiwa imebaki kichwa tu, ni ngumu kujua kwa mtu asie nifahamu.
we ungerusha ngumi?
Utatakiwa ukae chini na kutafakari muenendo wako wa kichoko ***** uachane nao.Nimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama ananilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba msamaha kuwa amekosea, hakujua.
ila simlaumu sana mana bahati mbaya, sijajaliwa ndevu, mtu akiniangalia ikiwa imebaki kichwa tu, ni ngumu kujua kwa mtu asie nifahamu.
we ungerusha ngumi?
Au sio 😹onda ni km wanajamiifoum, hawakuwahi ku meet na fine handsome boy
BOMB 💣we ungerusha ngumi?
Are you sure ukiwa handsome itakufanya uwe mwanaume kamili?No Zuu, it is just the hustle of being handsome i think.
😁😁😁😁😁 Sasa tusikwambie????Chunga mdomo wako
Da sister umendika kutanabaisha au vipiNimekaa garini, konda akawa anasema sister naomba tiketi yako, mi nikawa nimetulia mana sikujua kama anda anilenga mimi, jamaa karudia kama mara, tatu mwishowe anasema, dada acha dharau, inamana hunisikii ?, ikanibidi nisimame kwenye siti nimuulize, sister unaemzungumzia ni nani? jamaa ndio anaomba msamaha kuwa amekosea, hakujua.
ila simlaumu sana mana bahati mbaya, sijajaliwa ndevu, mtu akiniangalia ikiwa imebaki kichwa tu, ni ngumu kujua kwa mtu asie nifahamu.
we ungerusha ngumi?