Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti?

Dosho we ndio umesoma hivyo me mbona nimeuliza kistaarabu tu😃

Kwahiyo we dosho mpenzi wako akiwa na rafiki wa kiume utamfanya nini?
Inategemea na aina ya urafiki, kama ni namba tu kwenye simu mawasilano labda mara moja kwa wiki mbili ni sawa, ila kama wanawasiliana mara kwa mara hapo ntahisi kuna tatizo,
 
kama ni sehemu ya akili zake haina shida, kwa upande wangu pia fikra zangu zikinituma kuwa na best friend nakuwa naye.

kuna kitu watu hawakielewi, maamuzi ya mtu hayaingiliwi. mfano, wengi wanaoniambiaga tuachane, huwa nakubali bila hata kuhoji kwa nini. na wakirudi nikiamua kukubali nakubali, kama nafasi hiyo haipo nakataa. easy tu

ila ukianza kuishi kwa formula za watu, na kutaka uzuie maamuzi ya nafsi fulani ya mtu hakika dunia itakuwa sehemu nzito sana kwako.

Note; DETACHMENT is the key
 
huwa najatahidi kumuamini nnaye date naye hivyo ntanza kumuhisi jamaa kuna kitu ana scheme
Anyways sio sawa kuwa na urafiki wa karibu na oppoisite sex whilst una mahusiano serious, lakini ata huyo mtu akiwa na urafiki wa aina hiyo utamfanyann?
 
Mna kaa na kuongea nini kifanyike aidha apunguze mawasiliano na huyo jamaa au kila mtu shike njia yake
 
kama ni sehemu ya akili zake haina shida, kwa upande wangu pia fikra zangu zikinituma kuwa na best friend nakuwa naye.

kuna kitu watu hawakielewi, maamuzi ya mtu hayaingiliwi. mfano, wengi wanaoniambiaga tuachane, huwa nakubali bila hata kuhoji kwa nini. na wakirudi nikiamua kukubali nakubali, kama nafasi hiyo haipo nakataa. easy tu

ila ukianza kuishi kwa formula za watu, na kutaka uzuie maamuzi ya nafsi fulani ya mtu hakika dunia itakuwa sehemu nzito sana kwako.

Note; DETACHMENT is the key
Daaaah
 
Back
Top Bottom