Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti?

Mahusiano ya bf na gf unamwambia mtu kitu usichokipenda zaidi ya mara 1 kama hataki kusikia ni yeye, unakaa pembeni tu mambo ya kupigana kama ni lazima mahusiano yenu ya exist ni kukosa uelewa tu! Binafsi ukinipiga hata kwa kwa bahati mbaya siwezi kukuvumilia🏃🏽‍♀️🫢
yeah lazima umwambie hiki sipendi ili hata akifanya ajue anafanya kitu ambacho mpenzi wake hapendi. kupiga kwangu ni zaidi ya udhaifu, ni sawa na kumlamba mtu block, maana yake nimemshindwa.

kwa upande wangu, kama kitu sipendi situmii nguvu namweleza mara mbili baada ya hapo, atateseka kiakili mpaka atakaa sawa tu mwenyewe
 
Great! We hatupishani sana kwa mawazo, haina haja ya kumbadili mtu kwa nguvu! Mkishindwana duniani tupo wengi sana..
 
Na akiwa naye utamfanyann?
Hakuna kitu kama hicho, Huo urafiki si hutaki kama anakomaa anioneshe Rafiki wa karibu wa kiume kwa Mama ake mzazi ili nimuelewe

Otberwise kila mtu ashike 50 zaks
 
Hakuna urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke, NEVER..

Alaf naona kama inatakiwa ulambwe viboko, unabisha nn
Nina rafiki yangu wa kiume mtu wa church since last year naona hakuna tatizo kati yangu na yeye na ameoa namwita rafiki coz tunaongea vitu vingi mm sioni kama kuna shida

Tafadhar viboko siviwezi nipe adhabu nyingine 😁
 
Huyo alakulia timing tu, siku umeenda na huzuni zakutosha, furaha za kuzidi, au shida za kwenda, aisee atakuzagamua hiko kipapuchi mpaka ukimuona kesho yake unasujudu. Trust me, marafiki Zangu wakike wote nawataka kimapenzi, it's a matter of time tu. nawawinda kimyakimya, atakae jaa analiwa. Na hua hatutongozi, tunajifanyaga bahati mbaya nilipatwa na mihemko(HUA TUNAISINGIZIA POMBE NA UZURI WAO)

Chagu adhabu inayo kufaa sasa.
 
Nukuu: marafiki zangu wote wa kike nawataka kimapenzi😳 hii ni hatari
 
Hi

Hiyo ipo wazi, me sina rafiki wa kike anaefanana sura na uvungu wa toyo. Sababu najua nimewekeza, sitaki kula pabaya.

Rafiki wa kike ni DEM WANGU AMBAE BADO SIJAMTONGOZA. Ni jambo la muda tuu
 
Ahaa mm kitakachoniokoa ni hii sura kwahiyo usalama upo😁😁
 
Back
Top Bottom