Unamruhusu mpenzi wako awe na best friend wa jinsia tofauti?

Unaweza kutuonesha rafiki wakiume wa Mama ako Mzazi!?? Vijana wasikuhizi mnaakili gani hakuna huu urafiki kamwe
Siwezi kukuonesha kwa sababu sijawahi kuona akiwa na mtu anamuita rafiki sio wakike wala wa kiume, mm na wadogo zangu tulikua tukienda kwa jirani tunachapwa mpka tunachakaa achilia mbali ukigundulika umekula njee na nyumbani, nimezoea upweke so hao marafiki wakike siwawezi angalau wa kiume hawana mambo mengi hamuwezi kufatana kama kupe
 
Ndiyo namruhusu tu sababu sina insecurity yoyote, na pia kuna maisha nje ya mahusiano yetu lazima mtu awe na maisha yake binafsi.

Ata hao wanaosema hawawezi kuruhusu (me) na (ke) wote tunajua wana marafiki wa jinsia tofauti na ndo uhalisia wa maisha yetu labd kama ww sio binadamu ama una matatizo.
 
Siwezi kukuonesha kwa sababu sijawahi kuona akiwa na mtu anamuita rafiki sio wakike wala wa kiume, mm na wadogo zangu tulikua tukienda kwa jirani tunachapwa mpka tunachakaa achilia mbali ukigundulika umekula njee na nyumbani, nimezoea upweke so hao marafiki wakike siwawezi angalau wa kiume hawana mambo mengi hamuwezi kufatana kama kupe
Mmmmh haya Mamdogo

Hata usipomruhusu atakuwa nae. Mimi ninaye kiukweli..he is my soulmate🤪
Yaaan mi nitapigana na watu aiseeee mambo hayo ya BFF sijui..
We subri zamu yako inafika 😂😂😂🫵🫵
 
Bora awe na urafiki na jinsia tofauti ,huko kwenye jinsia moja wanasagana kama mashine za mahindi , na akishasagwa unaonekana pimbi tu
 
Back
Top Bottom