Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Vuta tu pichaHebu weka na kapicha?
Safiwangu tunaoneshana kabisa sio shida zetu
Mimi navuta picha hapa napata tu ya wife wako. Nashindwa kuelewaVuta tu picha
Kwenye pita pita inawezekanaMimi navuta picha hapa napata tu ya wife wako. Nashindwa kuelewa
Nyie ni sisi. Huyu wangu ananioneshaga waliomzidi mshepu najifanyaga sioni. Ananiambia hata usipoangalia ukiwa nami utaangalia tu ukiwa mwenyewe.wangu tunaoneshana kabisa sio shida zetu
Macho huona vingiNyie ni sisi. Huyu wangu ananioneshaga waliomzidi mshepu najifanyaga sioni. Ananiambia hata usipoangalia ukiwa nami utaangalia tu ukiwa mwenyewe.
Sema hiyo imekaa vizuri anajua kuwa akizungua , unao wakuwafuata.Wasalam ulifanyaje mwenza wako alipokuona uelekeo wa fikra zako na macho yako yapo kwa binti/ kijana anayepita ?
Kuna siku nimetulia sehemu wife akafuata kitu dirisha la huduma, ghafla kikakatiza chombo kwa mbali nikawa naki zoom naye sijui alistuka anaangaliwa akageuka.
Kumbe wife kasharudi sijamuona aliniambia kwa upole wazuri wanazaliwa kila siku nikamwambia kwa nini najibiwa naona mnavyoangaliana.
Ila kweli Mungu kaumba, VAR tu isikudake
Ukweli ndio huoSema hiyo imekaa vizuri anajua kuwa akizungua , unao wakuwafuata.
ndio si bora tuwaoneshe tuuNyie ni sisi. Huyu wangu ananioneshaga waliomzidi mshepu najifanyaga sioni. Ananiambia hata usipoangalia ukiwa nami utaangalia tu ukiwa mwenyewe.
Unamkosesha raha shemeji wewe tazama kwa timing kaliNamwambiaga, wife unajua tunavoongozana sehem nawewe kama hivi unaninyima uhuru unafanya nishindwe hata kugeuka kuangalia wanawake wengine tunaokutana nao, ananijibu 'jiheshimu'
Namba EWe muambie mkeku huyo kwamba unasoma plate number tu, wala sio issue.
Mimi huwa najifanya sioni na akinilazimishe niangalie nammind kumbe moyoni nasema yes safi 🤣ndio si bora tuwaoneshe tuu