Kuna ubaya wowote Feisal kwenda Azam kutafuta hela ili ajenge kesho yake?

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
2,652
Reaction score
4,593
Binafsi ni mshabiki wa mpira wa kiwango cha kati, siyo shabiki lialia anayeweza kulia timu yake ikifungwa.

Sasa nilikuwa nawauliza mashabiki lialia wa Yanga, je, kuna ubaya wowote Feisal kwenda Azam kutafuta hela ili ajenge future yake?

Ikumbukwe, mashabiki walikuwa wanasema Feisal ana kiwango cha kwenda nje ya nchi, lakini mpaka anakubali kwenda Azam ina maana ameishajikatia tamaa ya kwenda nje, hivyo anataka kutengeneza pesa kupitia Azam ili awekeze mana umri nao unaenda!

Hebu tujiulize, hivi Feisal hata akibaki Yanga, je, ataweza kung'ara, kupata namba ya uhakika na pesa nyingi kwa miaka mitatu ijayo? Binafsi kwa maisha ya soka yalivyo, naona kabisa Feisal pale Yanga atapata changamoto za wachezaji wazuri na hivyo kutokuonekana lulu ndani ya miaka mitatu ijayo.

Hivyo, tunavyokuwa tunamsakama Feisal, tufahamu kuwa na yeye anatafuta ridhiki ya maisha yake ya baadae.

Maisha ya mpira kwa sasa ni kutafuta pesa na siyo mapenzi na timu kama zamani!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mchezaji anaamini ameshavunja mkataba na Yanga kutokana na udhaifu wa mkataba uo, Sasa Yanga wanahusika vipi na mchezaji si wao.
Wazee wa Yanga wanahisi Azam wamejadiliana na mchezaji kinyume Cha utaratibu na CEO wa Azam amekanusha kufanya hivyo. Tunasubiri tuone mwisho kitatokea nini
 
Wazee wenu wanazeeka vibaya kwenye jambo lolote lenye complex hawajawahi kuwa na maamuzi rational

Na nyie vijana kama mtazeeka mkiwa hivyo basi mtakuwa na fyucha ya hovyo sana
 
Mnajinasibu mna viongozi vijana kumbe mnaongozwa na mawazo ya wazee, utopolo shida sana.

Hao wazee wanasema watasusia bidhaa za Azam, ajabu utakuta wake zao ndio wanaongoza kuwatuma watoto kuzinunua madukani.
 
Feisal yupo huru, Azam wamekanusha habari za kujihusisha na mchezaji uyo, Dilisha la usajili lipo wazi ni wakati wa Simba na klabu zingine kujiokotea mchezaji wa Bure.
Mchezaji haitaji uhamisho Wala kibali chochote ni kujiokotea tu.
 
Wazee wenu wanazeeka vibaya kwenye jambo lolote lenye complex hawajawahi kuwa na maamuzi rational

Na nyie vijana kama mtazeeka mkiwa hivyo basi mtakuwa na fyucha ya hovyo sana
Sasa wale wazee katiba mpya Yanga haiwatambui ni kama tu wako kijiwe Cha kahawa wanatoa tamko na waandishi wakaamua kuwarekodi.
 
Binafsi ni mshabiki wa mpira wa kiwango cha kati, siyo shabiki lialia anayeweza kulia timu yake ikifungwa.

Sasa nilikuwa nawauliza mashabiki lialia wa Yanga, je, kuna ubaya wowote Feisal kwenda Azam kutafuta hela ili ajenge future yake?

Ikumbukwe, mashabiki walikuwa wanasema Feisal ana kiwango cha kwenda nje ya nchi, lakini mpaka anakubali kwenda Azam ina maana ameishajikatia tamaa ya kwenda nje, hivyo anataka kutengeneza pesa kupitia Azam ili awekeze mana umri nao unaenda!

Hebu tujiulize, hivi Feisal hata akibaki Yanga, je, ataweza kung'ara, kupata namba ya uhakika na pesa nyingi kwa miaka mitatu ijayo? Binafsi kwa maisha ya soka yalivyo, naona kabisa Feisal pale Yanga atapata changamoto za wachezaji wazuri na hivyo kutokuonekana lulu ndani ya miaka mitatu ijayo.

Hivyo, tunavyokuwa tunamsakama Feisal, tufahamu kuwa na yeye anatafuta ridhiki ya maisha yake ya baadae.

Maisha ya mpira kwa sasa ni kutafuta pesa na siyo mapenzi na timu kama zamani!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Azam wamekana hawamtaki feisal,walikurupuka wameona hatari ya kufungiwa kusajili kwa kumshawishi mchezaji wa timu nyingine mwenye mkataba,wanakataa kama sio wao vile
 
Mnajinasibu mna viongozi vijana kumbe mnaongozwa na mawazo ya wazee, utopolo shida sana.

Hao wazee wanasema watasusia bidhaa za Azam, ajabu utakuta wake zao ndio wanaongoza kuwatuma watoto kuzinunua madukani.
Katiba mpya ya Yanga haiwatambui hao wazee labda kama unaongelea kitu kingine.
 
Sasa wale wazee katiba mpya Yanga haiwatambui ni kama tu wako kijiwe Cha kahawa wanatoa tamko na waandishi wakaamua kuwarekodi.
Katiba mpya haiwatambui??

Ngoja nifanye research ntakuja hapa
 
Binafsi ni mshabiki wa mpira wa kiwango cha kati, siyo shabiki lialia anayeweza kulia timu yake ikifungwa.

Sasa nilikuwa nawauliza mashabiki lialia wa Yanga, je, kuna ubaya wowote Feisal kwenda Azam kutafuta hela ili ajenge future yake?

Ikumbukwe, mashabiki walikuwa wanasema Feisal ana kiwango cha kwenda nje ya nchi, lakini mpaka anakubali kwenda Azam ina maana ameishajikatia tamaa ya kwenda nje, hivyo anataka kutengeneza pesa kupitia Azam ili awekeze mana umri nao unaenda!

Hebu tujiulize, hivi Feisal hata akibaki Yanga, je, ataweza kung'ara, kupata namba ya uhakika na pesa nyingi kwa miaka mitatu ijayo? Binafsi kwa maisha ya soka yalivyo, naona kabisa Feisal pale Yanga atapata changamoto za wachezaji wazuri na hivyo kutokuonekana lulu ndani ya miaka mitatu ijayo.

Hivyo, tunavyokuwa tunamsakama Feisal, tufahamu kuwa na yeye anatafuta ridhiki ya maisha yake ya baadae.

Maisha ya mpira kwa sasa ni kutafuta pesa na siyo mapenzi na timu kama zamani!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tatizo feisal sio muongeaji ila kitendo alichofanyiwa feisal na yanga ni unyama unamwambia mchezaji avumilie kipindi team ina hali mbaya anakubali licha ya kutakiwa na vilabu vyenye uwezo kipindi hicho team inakaa vizuri kiuchumi hawamboroshei mkataba wake mwisho wa siku mchezaji anaamua kuondoka wanambania haiwezekani kisinda na makambo wamzidi feisal mshahara it's not fair.
 
Binafsi ni mshabiki wa mpira wa kiwango cha kati, siyo shabiki lialia anayeweza kulia timu yake ikifungwa.

Sasa nilikuwa nawauliza mashabiki lialia wa Yanga, je, kuna ubaya wowote Feisal kwenda Azam kutafuta hela ili ajenge future yake?

Ikumbukwe, mashabiki walikuwa wanasema Feisal ana kiwango cha kwenda nje ya nchi, lakini mpaka anakubali kwenda Azam ina maana ameishajikatia tamaa ya kwenda nje, hivyo anataka kutengeneza pesa kupitia Azam ili awekeze mana umri nao unaenda!

Hebu tujiulize, hivi Feisal hata akibaki Yanga, je, ataweza kung'ara, kupata namba ya uhakika na pesa nyingi kwa miaka mitatu ijayo? Binafsi kwa maisha ya soka yalivyo, naona kabisa Feisal pale Yanga atapata changamoto za wachezaji wazuri na hivyo kutokuonekana lulu ndani ya miaka mitatu ijayo.

Hivyo, tunavyokuwa tunamsakama Feisal, tufahamu kuwa na yeye anatafuta ridhiki ya maisha yake ya baadae.

Maisha ya mpira kwa sasa ni kutafuta pesa na siyo mapenzi na timu kama zamani!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tatizo feisal sio muongeaji ila kitendo alichofanyiwa feisal na yanga ni unyama unamwambia mchezaji avumilie kipindi team ina hali mbaya anakubali licha ya kutakiwa na vilabu vyenye uwezo kipindi hicho team inakaa vizuri kiuchumi hawamboroshei mkataba wake mwisho wa siku mchezaji anaamua kuondoka wanambania haiwezekani kisinda na makambo wamzidi feisal mshahara it's not fair.
 
Wazee wenu wanazeeka vibaya kwenye jambo lolote lenye complex hawajawahi kuwa na maamuzi rational

Na nyie vijana kama mtazeeka mkiwa hivyo basi mtakuwa na fyucha ya hovyo sana
Fikiria wazee wa yanga miaka 10 ijayo kina Manara , kitenge na ally Kamwe sijui watakuwa wanatoa maoni Gani ikiwa Bado vijana wanaongea pumba
 
Back
Top Bottom