Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri shetani unaemjua kuliko malaika usiyemjua, wakitueka ndani tunakuwa zilipendwa wakati tukitoka tunakutana na seduce me wenye maneno matam, dah nyie wanaume nyiehahahha kwa kitu ambacho sina kwenye mishipa yangu shoga ni kufake 1ngj utaona malaika kwenye uzi huu kumbe wachafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu pyeeeeeee! ndio wanajisahau !hw come hela ya mafuta ananitumia mshikaj tu tena ya maana bas wakubali tu kusaidiwa !tumechoka atii kujihudumia kwa kila kitu
Hapana, cha Mombasa yule, my bad.kwani baby kabai ni mdau wa 'cha arusha'?
Heri shetani unaemjua kuliko malaika usiyemjua, wakitueka ndani tunakuwa zilipendwa wakati tukitoka tunakutana na seduce me wenye maneno matam, dah nyie wanaume nyie
We waache wajishaue tuhahaha ndo utoke hvyo shoga ! inaumiza sana saan! mwaya kaka angu mie Pascal Mayalla tupendeni tu kwani sh ngapi !
hahaha mkuu naona unamchonokoa muheshimiwa sana. Imenibidi tuu niukoti tuu uzi huu [emoji23]Wana MMU,
Salaam.
Japo mimi sii member active sana humu MMU, ila ni mfuatiliaji mzuri wa mada za MMU.
Kwenye what's app group fulani kuna mjadala kuhusu jamaa fulani kampenda mke wa mtu.
Watu wanajifanya kushangaa sana iweje mtu ampende mke wa mtu?. Wengine hadi wakafikia kumlaani kuwa atalaaniwa!.
Hapa nauliza very objectively, kuna ubaya gani mtu kumpenda mke wa mtu?.
Jee Wake Wote wa Watu Wanapendwa na Waume Zao?.
Kuna wanawake wengi sana wanaishi kwenye ndoa za mateso, na kiukweli hawana mapenzi kabisa toka kwa waume zao, na kuna wengine wanapendwa lakini waume zao hawana uwezo wa kuwatimizia wakatosheka. Sasa kuna ubaya gani mtu baki, ukampenda mwanamke kama huyu na ukamtimizia akatosheka?
Jee Wake Wote wa Watu Wanatimiziwa?, Wanatoshelezwa?
Jibu ni hapana, sii wake wote wa watu wanatimiziwa, na wale wanaotimiziwa, sii lazima wanatoshelezwa. Sasa ikitokea mtu akampenda mke wa mtu asiyetimiziwa, ukamtimizia, au asiyetoshelezwa, ukamtosheleza, kuna ubaya gani?
True Story ya Ujana Maji ya Moto, Tulitimizia, Tukatosheleza na Kuwadumishia Ndoa.
This is a true
hahaha mkuu naona unamchonokoa muheshimiwa sana. Imenibidi tuu niukoti tuu uzi huu [emoji23]
Hakuna ubaya kumpenda mke wa mtu kama huyo mke wa mtu hapendwi na mumewe na kama wewe hupendwi na mkeo na wewe humpendi mkeo. DIVORCE pande zote itawaweka huru kufanya yenyu! Ni dhambi kumpenda mke wa mtu wakati uko ndani ya ndoa halafu hueleweki unalilia kuombewaWana MMU,
Salaam.
Japo mimi sii member active sana humu MMU, ila ni mfuatiliaji mzuri wa mada za MMU.
Kwenye what's app group fulani kuna mjadala kuhusu jamaa fulani kampenda mke wa mtu.
Watu wanajifanya kushangaa sana iweje mtu ampende mke wa mtu?. Wengine hadi wakafikia kumlaani kuwa atalaaniwa!.
Hapa nauliza very objectively, kuna ubaya gani mtu kumpenda mke wa mtu?.
Jee Wake Wote wa Watu Wanapendwa na Waume Zao?.
Kuna wanawake wengi sana wanaishi kwenye ndoa za mateso, na kiukweli hawana mapenzi kabisa toka kwa waume zao, na kuna wengine wanapendwa lakini waume zao hawana uwezo wa kuwatimizia wakatosheka. Sasa kuna ubaya gani mtu baki, ukampenda mwanamke kama huyu na ukamtimizia akatosheka?
Jee Wake Wote wa Watu Wanatimiziwa?, Wanatoshelezwa?
Jibu ni hapana, sii wake wote wa watu wanatimiziwa, na wale wanaotimiziwa, sii lazima wanatoshelezwa. Sasa ikitokea mtu akampenda mke wa mtu asiyetimiziwa, ukamtimizia, au asiyetoshelezwa, ukamtosheleza, kuna ubaya gani?
True Story ya Ujana Maji ya Moto, Tulitimizia, Tukatosheleza na Kuwadumishia Ndoa.
This is a true
Hakuna ubaya kumpenda mke wa mtu kama huyo mke wa mtu hapendwi na mumewe na kama wewe hupendwi na mkeo na wewe humpendi mkeo. DIVORCE pande zote itawaweka huru kufanya yenyu! Ni dhambi kumpenda mke wa mtu wakati uko ndani ya ndoa halafu hueleweki unalilia kuombewa
....Mbona hapa sijaelewa? Funguka hii inahusianaje na uzi wa Pasco?Raisi wa nchi huwa anamkulia wapi huyo mama? Kwa maana raisi wetu hatoki nje ya nchi, sasa raisi anawezaje tu kutembea na Waziri kirahisi rahisi hivi hivi? Mmemtafuuta koote raisi wetu mmemshindwa sasa mnaaza character assassination, ...
....Pasco haanzishi threads hivi hivi, sooner or later tutabaini lengo lake.Yaani umepoteza muda kuja kufungua thread yenye pumba namna hii, na wewe unajiita great thinker. Kama unakula mke wa mtu we endelea tu, usije humu kutafuta cheap justification