Kuna ubaya wowote mtu kumpenda mke wa mtu? Mbona Daudi alimpenda mke wa Uria na akabarikiwa?

Heri shetani unaemjua kuliko malaika usiyemjua, wakitueka ndani tunakuwa zilipendwa wakati tukitoka tunakutana na seduce me wenye maneno matam, dah nyie wanaume nyie
 
hahaha mkuu naona unamchonokoa muheshimiwa sana. Imenibidi tuu niukoti tuu uzi huu [emoji23]
 
hahaha mkuu naona unamchonokoa muheshimiwa sana. Imenibidi tuu niukoti tuu uzi huu [emoji23]


hahahahhahahahahahha hakika wewe sasa ndo umeniamsha nw !haijawah tokea Pascal Mayalla asiandike kimafumbo kumhusu mbatuzaji ahahha nacheka sana jaman jkhaa!salute kaka
 
Hakuna ubaya kumpenda mke wa mtu kama huyo mke wa mtu hapendwi na mumewe na kama wewe hupendwi na mkeo na wewe humpendi mkeo. DIVORCE pande zote itawaweka huru kufanya yenyu! Ni dhambi kumpenda mke wa mtu wakati uko ndani ya ndoa halafu hueleweki unalilia kuombewa
 



hahahaahahaha alafu wwe mdada huwa nakupendaga sema unaonekana kwa nadra sana sana !hahah salute
 
Kupenda mke wa mtu sawa na kuvuta sigara unavuta ila unaambiwa ni hatari kwa afya yako na serikali inapata mapato.
 
Sidhani kama umelitumia neno stahiki kulingana na muktadha wa jambo ulilotaka kutuhabarisha...

Maadamu mwanamke ni mke halali wa mwanaume fulani, basi mwanaume yoyote yule mwingine akipata hisia za mapenzi na hata akizitekeleza hisia zake kamwe huwezi kutumia matamshi kuwa "mwanaume fulani kampenda mke wa fulani"...

Maneno au matamshi sahihi ni kuwa "mwanaume fulani kawaka tamaa juu ya mke wa mtu"...
 
Yaani umepoteza muda kuja kufungua thread yenye pumba namna hii, na wewe unajiita great thinker. Kama unakula mke wa mtu we endelea tu, usije humu kutafuta cheap justification
....Pasco haanzishi threads hivi hivi, sooner or later tutabaini lengo lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…