Kuna ubaya wowote mtu kumpenda mke wa mtu? Mbona Daudi alimpenda mke wa Uria na akabarikiwa?

Raisi wa nchi huwa anamkulia wapi huyo mama? Kwa maana raisi wetu hatoki nje ya nchi, sasa raisi anawezaje tu kutembea na Waziri kirahisi rahisi hivi hivi? Mmemtafuuta koote raisi wetu mmemshindwa sasa mnaaza character assassination, ...
bila hii comment nisingeuelewa uzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kumbe ni jiwe gizan yallaah zimeanza kusikika

mzee ww ni great thinker
 
Inaruhusiwa tu kama huyu mwenye mke hamjali.....hamheshimu.....anamdhalilisha wakiwa ndani na mbele za watu, anampiga hadi kumjeruhi na aina yoyote ile ya kumtreat vibaya. Katika hali hiyo ukimchukua unabaraka zote juu mbinguni na uraiani hadi za mshua magufuri.

Ila kama mtu anampenda na kumjali mkewe na anaishi naye poa tu kwa upendo, anamuheshimu, anamtunza, anamjali, na kumuhitaji, wewe ukienda kuharibu huo uhusiano hautafika naye mbali na wewe yatakukuta yale yale uliyomfanyia mwenzako.
 
Ngoja nimtume kaka yangu aje ampende mkeo ndo utajua kama kuna ubaya ama la?Hukujiuliza why Daudi alimuweka mbele URIA afe kwenye mapigano ili ajivinjari na yule mwanamke?Alijua kabisa ni kosa.
 
Kupenda sio dhambi lakini upendo uko wa aina tatu,,labda umeongelea upendo upi? Kumpenda mke wa mtu unconditional hakuna ubaya,,,lakini kukiwa na dhamira nyengine nyuma ya upendo basi Mimi nitakuwa na mashaka kwamba tamaa haiko mbali,,,David mfalme hakumpenda yule mwanamke at first sight ila alimtamani maana alimwona akioga yeye akiwa juu gorofani,,,huu mtihani naamini hata sisi mwanaume wengi ungetushinda,,,Kupenda ni amri "mpende jirani yako kama nafsi yako"" kwa hio jirani ni neno pana ambapo mke wa mtu nae ni miongoni mwa majirani,,,lakini ukipenda ukavuka mpaka tayari unakuwa umeelekea kwenye amri nyingine""usitamani mke wa jirani yako wala chochote alicho nacho""
Mwisho Naweza Kusema jirani yako sio mke wa jirani yako tu hata na mmewe ni jirani yako,,,kwa hio kama wewe unampenda jirani yako Huwezi ukamcharaza mke wake..utakuwa huna upendo kabisa...
 
..mke wa mtu mtamu sana...mwaka jana mke wa mtu kanipa dudu lake nikapiga kiyama....kisa bwana wake hakuwa anamtimizia...eti kutwa kucha anashinda kwenye punyeto na porno....mwaka huu huyo wife amenipigia ananitafta...eti ameachana na mumewe jumla....duh.kumbe ndoa imevunjika baada ya kuonja utam nje.....nimesepa...maana sitaki kesi na jamaa yake...wake za watu wamekua shidaaaa siku hizi...
Ndugu mbona story yako inafanana ya binti mmoja nilimla kwa bahati mbaya ila tabia hizohizo zilikuwa za mme wake na wameachana mwaka jana.
 
Tamani tu mke wa mtu sio mbaya.
ila ukiwekewa jambia la shingo ,ndo utajua kuwa hatuko zama za mawe za kale wala za chuma....
siku hio ndo utajua kutofautisha mwaka 47 na 2017
 
Wawapende tu...

Ila wasisahau tembea na vilainishi....

Siku zote huwa wanaume wanasemaga wanawake hawapendani. .....

Ila ikifika hapa pa wanaume kugeuzana na kulana tigo au kuhemeana migongoni aka kufirauniana hapo ndo huwa naona nyie ndo huwa mnachukiana kuliko wanawake tunavochukiana. Kipimo cha hasira uliyonayo ndo umfanye mwanaume mwenzio awe shoga. ..... halafu baadae mnasema wanaume tumebaki wachache kumbe kila leo mnaongeza idadi ya mashoga khaaa.

Poleni.... mwenzenu mwana FA aliimba wakikumegea demu wako nawe kamata mwingine mega sio ukamate mwanaume mwenzio ummege mtaishia kugeuzana mbaki kuwa michicha mwiba mtukoseshe mautamu bure huku kwa BIBI WEREVA. .... hehehehehe

Nimewaza tuu kwa sauti sijamtusi yeyote.... muwe huru kuenenda kama mioyo yenu inavowatuma. Meganeni tuu hakuna namna.....

Kasie.
 
Wana MMU,
Salaam.

Japo mimi sii member active sana humu MMU, ila ni mfuatiliaji mzuri wa mada za MMU.

Kwenye what's app group fulani kuna mjadala kuhusu jamaa fulani kampenda mke wa mtu.

Watu wanajifanya kushangaa sana iweje mtu ampende mke wa mtu?. Wengine hadi wakafikia kumlaani huyu mpendaji kuwa kitendo cha kumpenda mke wa mtu, atalaaniwa!.

Hii ni thread ya swali hypothetical tuu na naliuliza very objectively, kuna ubaya gani mtu kumpenda mke wa mtu?.

What is Love?.
Kupenda is love, ni kitu kinachotokea naturally for a reason au inaweza kutokea tuu for no reason at all!. Sasa ikitokea tuu naturally, mtu kumpenda mke wa mtu mwingine, jee kuna ubaya gani?. NB. Naomba lets underline, kupenda, love na kutoka na mke wa mtu!, hapa nazungumzia ku penda, just imagine wewe ni mwanamke mke wa watu, halafu umependwa na mwanaume mwingine, jee wewe una kosa kupendwa?, kwani ni wewe ndio umemwambia huyo mwanamume, akupende?.

Hitimisho.
Wanawake, ni mama zetu, dada zetu na wake zetu, wengi wao wanaishi kwenye ndoa za mateso, hawapendwi, hawatimiziwi, hawatoshelezwi, sasa katika safari ya kuelekea kwenye usawa wa kijinsia, kama sisi wanaume tulivyo na uhuru wa kupenda mtu zaidi ya mmoja na isinekane ni jambo la ajabu, its high time, tuwape uhuru huo wa kupenda na kupendwa, mama zetu, dada zetu, na wake zetu.
Namalizia kwa swali hili la msingi, Japo "The Forbidden Fruits the Sweetest", na "Vifunikavyo Vyaliwa, Vyaachwa Vilo Wazi", Jee ikitokea mtu kumpenda mke wa mtu mwingine, jee kuna ubaya gani?.

Ila pia pamoja na yote, mwisho wa yote ni hukumu ya haki iitwayo karma, ambayo kila binadamu atahukumiwa kwa kadri ya wema wake!, unaweza kumpenda mke wa mtu kwa lengo la kumsaidia yeye na familia yake, ukapata baraka kwa usaidizi huo, na unaweza kumpenda mke wa mtu, kwa dhambi ya matamanio ya mwili tuu, na hivyo kumuangamiza mume wake na kuisambaratisha familia yake, japo kidunia unaweza kufanikiwa sana, lakini mwisho wa siku lazima karma itakuhusu!.

Muongozo wa kuujadili uzi huu:
Nasisitiza uzi huu ni hypothetical situation, hivyo nawaombeni sana, msiingize jina la mtu yoyote, na pia isiiamini sana taarifa za umbeya wa mitandaoni kuhusu wake za watu!.
Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa ...

Nawatakia Jumatano Njema.
Paskali
Rejea
Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi ...
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya ... - JamiiForums

Mkuu usijichanganye, know that real love knows no opposite, and it comes naturally.
 
Ndugu yangu Pascal Mayalla nadhani umeeleza kuhusu Upendo na Kutamani(Love and Lust) nadhani tungeongeze kitu kingine kinaitwa Attraction. (Mvuto).na nini maana ya Ndoa.

Lakini ni vizuri tukifahamu kuhusu Ndoa.

Nianze na 1.Upendo-Huu hutoka kwa Mungu. Hii ni hali ya kujitoa kwa mtu au kitu na kuonyesha hisia za kujali na kufurahishwa na mtu au kitu .Kwasababu Upendo asili yake ni Mungu hivyo chochote kilicho kinyume na matakwa ya Mungu siyo Upendo.

2.Kutamani-hii inatokana na hamu ya mwili au macho kutimiza kiu yake tuu na haina kujitoa kwaajili ya mtu mwingine.

3.Attaction (mvuto) ni ile hali ya mtu fulani awe binti yako au yeyote kuwa na vitu unavyodhani vinakuvutia au vinamfanya avutie.

Katika haya matatu tatizo lipo kwenye kipengele cha pili cha Kutamani (Lust) ambayo ni kinyume na Mwenyezi Mungu.

Ndoa ni agano kati ya watu wawili na Mungu na husimamiwa na Mungu.

Hivyo ukimtamani mke wa mtu ni kua unaingilia taasisi ya Mungu anayoisimamia yeye hivyo unamwingilia Mungu.

Daudi alimchukua mke wa Uria lakini Mungu alimwadhibu kwa kosa hilo.

Kama ukimchukua mwanamke wa mtu ambaye hayuko kwenye ndoa na mkaamua kuoana hilo ni jambo jema lakini si vinginevyo.
 
Mkuu Pascal Mayalla Ni jambo baya sana kutembea na mke wa mtu

2Samweli 12:7-10

7 Basi Nathani akamwambia Daudi, Wewe ndiwe mtu huyo. BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nalikutia mafuta, uwe mfalme juu ya Israeli, nikakuokoa na mkono wa Sauli;

8 nami nikakupa nyumba ya bwana wako, na wake za bwana wako kifuani mwako; nikakupa nyumba ya Israeli na ya Yuda; na kama hayo yangalikuwa machache, ningalikuongezea mambo kadha wa kadha.

9 Kwa nini umelidharau neno la BWANA, na kufanya yaliyo mabaya machoni pake? Umempiga Uria, Mhiti, kwa upanga, nawe umemtwaa mkewe awe mke wako, nawe umemwua huyo kwa upanga wa wana wa Amoni.

10 Basi, sasa upanga hautaondoka nyumbani mwako, kwa sababu umenidharau, ukamtwaa mkewe Uria, Mhiti, kuwa mke wako.

Kuna mambo kadhaa ya kujifunza hapo.

Moja Dhambi haifichiki mbele za Mungu hata kama utaifanya kwa siri itadhihilika wazi na pigo utalipata usiposimama kwa bidii kuitubia na kuiacha kabisa.

Mbili Mungu anatuonyesha kwa vitendo madhara na dhambi za kutembea na wake za watu na waume za watu, Mungu kupitia kinywa cha Nabii Nathan anamwambia Daudi kama yangalikua machache ningalikuongezea mambo kadhaa wa kadhaa, kwanini umelidharau Neno la Bwana na kufanya yaliyo mabaya machoni pake????

Kutokuridhika na mkeo na kutokujizuia nafsi kutenda mabaya imepelekea ndoa nyingi kuvunjika na kuharibika, imepelekea ndoa nyingi kujaa unajisi na uchafu mbali mbali, kumepelea mapigo makubwa kwenye familia kwakosa tu la mtu mmoja alilolifanya kwa siri linapelekea laana kuitafuna familia.

Sikia sasa Mungu anavyombia Daudi kwa kinywa cha Nathan '2 Samwel 12:11-15 hapo unaona uovu mkubwa ambao unaachiliwa kwenye familia na moja wapo mtoto kufa,

Dhambi zilizofanyika Sirini ndio maana watoto wengi wanasumbua wazazi wao na dhambi ya uasherati imewameza watoto kiasi cha kuwazeesha watoto wangali wadogo, ukisoma Ezekiel 18:2 inasema "Je! Maana yake ni nini hata mkatumia mithali hii katika Israeli, mkisema, Baba wamekula zabibu mbichi, nao watoto wakatiwa ganzi la meno?"

Soma huo mstari kwa makini na kuutafakari utaona wazazi wakiwakilishwa na baba walitembea nje ya ndoa na kulala na mabinti kiasi cha watoto wao wa kuwazaa baada ya kukua walikuja kuharibika kwa kutokutulia katika ujana wao na katika ndoa zao, tunalalamika ndoa za watoto hazikai tunasahau kuwa kuna mambo machafu yalifanywa na mtu mmoja yakapelekea kuharibu familia kwan Mungu amenena kwamba "Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao," kutoka 20:5, maana yake ukifanya ubaya lazima yalipwe kwa vizazi vinne, sasa usipotubu ndio laana, mikosi na mabalaa yanatawala katika familia.

Omba roho ya kujizuia nafsi ijae kwa mkeo
 
Amen.
Naomba kuuliza swali dogo tuu, kama Mfalme Daudi aliadhibiwa kwa kosa la kumua Uria na kumtwaa mke wa Uria na kumfanya mkewe, mbona Mungu akambariki na ni huyo mke wa Uria, ndiye amemzalia Daudi mrithi wake, Suleiman ?.

Mfalme Suleiman akabarikiwa sana, akawa tajiri sana, akapewa busara sana, akaja kuoa wake 800 na masuria 200!. Hizi zote ni baraka toka kwa Mungu. Hivyo sio kila mahusiano na mke wa mtu ni laana, mengine ni baraka !.
P
 
Ndugu yangu Pascal Mayalla nadhani umeeleza kuhusu Upendo na Kutamani(Love and Lust) nadhani tungeongeze kitu kingine kinaitwa Attraction. (Mvuto).na nini maana ya Ndoa.

Lakini ni vizuri tukifahamu kuhusu Ndoa.

Nianze na 1.Upendo-Huu hutoka kwa Mungu. Hii ni hali ya kujitoa kwa mtu au kitu na kuonyesha hisia za kujali na kufurahishwa na mtu au kitu .Kwasababu Upendo asili yake ni Mungu hivyo chochote kilicho kinyume na matakwa ya Mungu siyo Upendo.

2.Kutamani-hii inatokana na hamu ya mwili au macho kutimiza kiu yake tuu na haina kujitoa kwaajili ya mtu mwingine.

3.Attaction (mvuto) ni ile hali ya mtu fulani awe binti yako au yeyote kuwa na vitu unavyodhani vinakuvutia au vinamfanya avutie.

Katika haya matatu tatizo lipo kwenye kipengele cha pili cha Kutamani (Lust) ambayo ni kinyume na Mwenyezi Mungu.

Ndoa ni agano kati ya watu wawili na Mungu na husimamiwa na Mungu.

Hivyo ukimtamani mke wa mtu ni kua unaingilia taasisi ya Mungu anayoisimamia yeye hivyo unamwingilia Mungu.

Daudi alimchukua mke wa Uria lakini Mungu alimwadhibu kwa kosa hilo.

Kama ukimchukua mwanamke wa mtu ambaye hayuko kwenye ndoa na mkaamua kuoana hilo ni jambo jema lakini si vinginevyo.
Mkuu Deogratius M, asante sana kwa mchango huu,
ndio naiona leo. Pomoja na Mungu kumuadhibu Daudi kwa kosa la kuchukua mke wa mtu, mke wa Uria, lakini ni huyo huyo mke wa Uria ndio Mungu akambariki akamzalia Daudi, Suleiman aliyekuja kuwa mfalme mkubwa.
P.
 
Amen.
Naomba kuuliza swali dogo tuu, kama Mfalme Daudi aliadhibiwa kwa kosa la kumua Uria na kumtwaa mke wa Uria na kumfanya mkewe, mbona Mungu akambariki na ni huyo mke wa Uria, ndiye amemzalia Daudi mrithi wake, Suleiman ?.

Mfalme Suleiman akabarikiwa sana, akawa tajiri sana, akapewa busara sana, akaja kuoa wake 800 na masuria 200!. Hizi zote ni baraka toka kwa Mungu. Hivyo sio kila mahusiano na mke wa mtu ni laana, mengine ni baraka !.
P
Mkuu kumbuka Mungu alitoa adhabu ya kifo kwa mtoto aliyezaliwa Kabla ya Suleiman
 
Back
Top Bottom