Kuna ubaya wowote mtu kumpenda mke wa mtu? Mbona Daudi alimpenda mke wa Uria na akabarikiwa?

Kuna ubaya wowote mtu kumpenda mke wa mtu? Mbona Daudi alimpenda mke wa Uria na akabarikiwa?

Wana MMU,
Salaam.

Japo mimi sii member active sana humu MMU, ila ni mfuatiliaji mzuri wa mada za MMU.

Kwenye what's app group fulani kuna mjadala kuhusu jamaa fulani kampenda mke wa mtu.

Watu wanajifanya kushangaa sana iweje mtu ampende mke wa mtu?. Wengine hadi wakafikia kumlaani kuwa atalaaniwa!.

Hapa nauliza very objectively, kuna ubaya gani mtu kumpenda mke wa mtu?.

Jee Wake Wote wa Watu Wanapendwa na Waume Zao?.
Kuna wanawake wengi sana wanaishi kwenye ndoa za mateso, na kiukweli hawana mapenzi kabisa toka kwa waume zao, na kuna wengine wanapendwa lakini waume zao hawana uwezo wa kuwatimizia wakatosheka. Sasa kuna ubaya gani
mtu baki, ukampenda mwanamke
kama huyu na ukamtimizia akatosheka?.
Jee Wake Wote wa Watu Wanatimiziwa?, Wanatoshelezwa?.
Jibu ni hapana, sii wake wote wa watu wanatimiziwa, na wale wanaotimiziwa, sii lazima wanatoshelezwa. Sasa ikitokea mtu akampenda mke wa mtu asiyetimiziwa, ukamtimizia, au asiyetoshelezwa, ukamtosheleza, kuna ubaya gani?.
True Story ya Ujana Maji ya Moto, Tulitimizia, Tukatosheleza na Kuwadumishia Ndoa.
This is a true

Kuna mke wa jamaa umempenda sasa unataka kuhalalisha eeeh.

'Ukila lazima uliwe' Wako akipendwa usimaindi lakini.
 
Naam kuna ubaya... Na ubaya wenyewe ni malipo ya karma.
Huyo Daud mwenyewe alitubu tena kwa machozi (ni gharama pia kwa mfalme kulia)
 
Tuanze na kusahihisha uongo wako. Daudi hakubarikiwa kwa kutembea na mke wa Uriah kwa jina Bathsheba. Kinyume chake yafuatayo yalitokea:
  1. Balaa ndani ya nyumba ya Daudi: Tamar, dada wa Absalom kupendwa na kuliwa tunda kinguvu na kaka yake Amnoni.
  2. Absalom kumuua Amnoni-wote hawa ni watoto wa Daudi
  3. Ufalme ukaenda kwa Solomoni (mtoto wa aliyepata kwa mke wa Uriah) badala ya kwenda kwa watoto wake wa ndani ya ndoa.
  4. Absalom kutaka kumpindua Baba yake.
  5. Adonia kujitangaza kama mfalme mtarajiwa wakati Daudi akiwa hoi kitandani na wakati ahadi ya ufalme ilikuwa kwa Solomon.
  6. Ufalme kugawanyika baada ya kifo cha Daudi.
Mwisho, Daudi alijutia na kutubu kwa Mungu kwa dhambi hii mbaya kabisa. Maandiko pia yanasema: "Ndoa iheshimiwe na watu wote"!
 
Mkuu Pascal, watu wasiojulikana wamekukimbiza kwenye siasa naona unageukia mapenzi. Ila na huku taratiiibu unaingia cha kike. Mke wa mtu sumu, na sumu huwa haijaribiwi kaka.
 
Yaani umepoteza muda kuja kufungua thread yenye pumba namna hii, na wewe unajiita great thinker. Kama unakula mke wa mtu we endelea tu, usije humu kutafuta cheap justification
 
Ndo nikupendeacho dada yangu wewe, hunaga unafiki in magu's voice, hakuna ubaya kumpenda mke wa mtu, wakituwowa wanatufanya kama kanyagio wanasahau na sie Bado tunachemka loh!!!


hahahha kwa kitu ambacho sina kwenye mishipa yangu shoga ni kufake 1ngj utaona malaika kwenye uzi huu kumbe wachafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu pyeeeeeee! ndio wanajisahau !hw come hela ya mafuta ananitumia mshikaj tu tena ya maana bas wakubali tu kusaidiwa !tumechoka atii kujihudumia kwa kila kitu
 
Back
Top Bottom