Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
ok.Unaweza kuona bandari yetu wakijisifia ila nyuma ya pazia.
Huko ndiko kitovu cha silahaa zinazokwenda congo,sudani .
Mwengine ni kenya na yeye yupo kwenye listi.
Tuishie hapa.
Doria mtandaoni kinyeo
Ndio maana unajiuliza .. mzigo wote wa silaha za akina M23 zinafikafikaje kule?....... Anyway .. sorry naomba kuuliza swali nje ya mada...
Hivi do world wamepewa miaka mingapi katika kuiendesha bandar safe?π
Cha ajabu hata hiyo document ya mashtaka hujaisoma....Unaweza kuona bandari yetu wakijisifia ila nyuma ya pazia.
Huko ndiko kitovu cha silahaa zinazokwenda congo,sudani .
Mwengine ni kenya na yeye yupo kwenye listi.
Tuishie hapa.
Mkataba wa dp world utakoma siku shughuli za bandari zitakapoisha π πNdio maana unajiuliza .. mzigo wote wa silaha za akina M23 zinafikafikaje kule?....... Anyway .. sorry naomba kuuliza swali nje ya mada...
Hivi do world wamepewa miaka mingapi katika kuiendesha bandar safe?π