Kuna ugonjwa ukiumwa unakuwa unakiona kifo

Witmak255

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2019
Posts
3,264
Reaction score
5,450
Kama huamini Mungu yupo basi anza kusali leo kuna majanga ukipitia unatamani usali kwa lugha zote za ulimwengu huu, unamuona kabisa Israel mtoa roho anakukaribia Ule ugonjwa ulifanya niombe kila aina ya sala wakati kanisani nina miaka sijawahi kugusa, mafua makali, kizunguzungu na kuishiwa nguvu mara chache nikawa napumua kwa kuhema na kwa tabu sana haikuwa homa wala mafua ya kawaida niliyoyazoea

Siamini mpaka sasa niko hai japo sikupima lakini naamini ile ni hii new cases, zile wiki karibia 4 kasoro zilikuwa za mtihani mkubwa sana kwangu.

Naanza kwenda kanisani rasmi naamini ni Mungu tu aliyeniponya
 
Ahahaaa....sio ww tuu mkuu ata firauni alimkubali Mungu baada ya maji kumfika shingoni lakini hlo halikubali kitu ktk hukmu yake.....ndomana tukambiwa tumia afya vzur kabla ya maradhi yako na muda wako kabla ya umauti wako
😬😬😬😬
 
Kama huamini mungu yupo basi anza kusali leo kuna majanga ukipitia unatamani usali kwa lugha zote za ulimwengu huu, unamuona kabisa Israel mtoa roho anakukaribia Ule ugonjwa ulifanya niombe kila aina ya sala wakati kanisani nina miaka sijawahi kugusa, mafua makali, kizunguzungu na kuishiwa nguvu mara chache nikawa napumua kwa kuhema.

Siamini mpaka sasa niko hai japo sikupima lakini naamini ile ni hii new cases, zile wiki karibia 4 kasoro zilikuwa za mtihani mkubwa sana kwangu.
Naanza kwenda kanisani rasmi naamini ni mungu tu aliyeniponya
Una umri gani? Una magonjwa yeyote nyemelezi?
 
Hongera kwa kuamini kuwa Mungu yupo,sali sana bro.
 
Back
Top Bottom