Forbes1990
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 513
- 992
HAPO kwenye kichomi usiseme ndugu nilikuwa nalia kabisaHii ngoma ilinipiga mwezi uliopita katikati...
Nilikuwa napigwa na kichomi unadhani mbavu zinachomokA... Kichwa kuuma
... Ngozi inauma Kama umemwagiwa maji ya Moto ...acheni tu .... Jikingeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Mungu alinivusha maana nilikuwa napigwa na kichomi unasikia mpaka tumbo linakuwa lamoto ... Pumzi unaisikia kukata kabisa ... Sometimes Hadi miguu inakuwa Moto.HAPO kwenye kichomi usiseme ndugu nilikuwa nalia kabisa
Ulitumia wiki ngap kupona? Kujifukiza vpmzee bibi alinipiga miti shamba ile hata majina siyajui
pole sana mkuu halafu watu wansema ni wazee waache kujidanganya kabisaNi Mungu alinivusha maana nilikuwa napigwa na kichomi unasikia mpaka tumbo linakuwa lamoto ... Pumzi unaisikia kukata kabisa ... Sometimes Hadi miguu inakuwa Moto.
Ila kwasasa Niko poa
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa ile hali niliyokuwa nayo kama ningejifukiza ningeondoka maana nilikuwa sihemi vizuri ilinichukua wiki 4
Bibi yako inabidi tumpeleke NIMR akapige tafumzee bibi alinipiga miti shamba ile hata majina siyajui
pamoja na ukakamavu wangu nikajikuta mnyonge kama pilitoniOk polee sana mkuu na huu ugonjwa unatesa sana na asa yale maumivu ya viungo
Sent using Jamii Forums mobile app
uko maeneo gani ndugu nikusaidie miti shamba iliyoniponya lakini sijui kama itakusaidia na weweSimulia sana ila omba yasikukute...Hapa nilipo sina uwezo wa kusikia harufu yoyote wala kuhisi radha ya chakula chochote
Viungo vya mwili ndio usiseme vinavouma...Pua zimeziba hii inaelekea siku ya 7 au 8 na hamna dawa ya mafua iliyonipa nafuu
Covid ni hatarii naamin nitapona tu inshaallah...
Unakohoa?Simulia sana ila omba yasikukute...Hapa nilipo sina uwezo wa kusikia harufu yoyote wala kuhisi radha ya chakula chochote
Viungo vya mwili ndio usiseme vinavouma...Pua zimeziba hii inaelekea siku ya 7 au 8 na hamna dawa ya mafua iliyonipa nafuu
Covid ni hatarii naamin nitapona tu inshaallah...
Simulia sana ila omba yasikukute...Hapa nilipo sina uwezo wa kusikia harufu yoyote wala kuhisi radha ya chakula chochote
Viungo vya mwili ndio usiseme vinavouma...Pua zimeziba hii inaelekea siku ya 7 au 8 na hamna dawa ya mafua iliyonipa nafuu
Covid ni hatarii naamin nitapona tu inshaallah...
Nipo Songea Ruvuma mkuu kwa sahiv natumia mchanganyiko wa juice ya limao,Tangawizi na vitunguu swaumu vinanipa nafuuuko maeneo gani ndugu nikusaidie miti shamba iliyoniponya lakini sijui kama itakusaidia na wewe
Mkuu nilipitia hizo hali kidogo nife.Simulia sana ila omba yasikukute...Hapa nilipo sina uwezo wa kusikia harufu yoyote wala kuhisi radha ya chakula chochote
Viungo vya mwili ndio usiseme vinavouma...Pua zimeziba hii inaelekea siku ya 7 au 8 na hamna dawa ya mafua iliyonipa nafuu
Covid ni hatarii naamin nitapona tu inshaallah...
Yes nakohoa kikohozi kikavu na Pua bado zinaziba ziba kwa kweli hizi wiki 2 kwangu imekua changamoto