Ulitumia njia gan?hapana mkuu unataka nife wakati kupumua ilikuwa shida
Una umri gani? Una magonjwa yeyote nyemelezi?Kama huamini mungu yupo basi anza kusali leo kuna majanga ukipitia unatamani usali kwa lugha zote za ulimwengu huu, unamuona kabisa Israel mtoa roho anakukaribia Ule ugonjwa ulifanya niombe kila aina ya sala wakati kanisani nina miaka sijawahi kugusa, mafua makali, kizunguzungu na kuishiwa nguvu mara chache nikawa napumua kwa kuhema.
Siamini mpaka sasa niko hai japo sikupima lakini naamini ile ni hii new cases, zile wiki karibia 4 kasoro zilikuwa za mtihani mkubwa sana kwangu.
Naanza kwenda kanisani rasmi naamini ni mungu tu aliyeniponya
Hongera kwa kuamini kuwa Mungu yupo,sali sana bro.Kama huamini mungu yupo basi anza kusali leo kuna majanga ukipitia unatamani usali kwa lugha zote za ulimwengu huu, unamuona kabisa Israel mtoa roho anakukaribia Ule ugonjwa ulifanya niombe kila aina ya sala wakati kanisani nina miaka sijawahi kugusa, mafua makali, kizunguzungu na kuishiwa nguvu mara chache nikawa napumua kwa kuhema.
Siamini mpaka sasa niko hai japo sikupima lakini naamini ile ni hii new cases, zile wiki karibia 4 kasoro zilikuwa za mtihani mkubwa sana kwangu.
Naanza kwenda kanisani rasmi naamini ni mungu tu aliyeniponya
Pole sana kwahiyo una uhakika ni FUTA lilikukamata?32 mkuu magonjwa nyemelezi 😬 😬 ukilala unaona kabisa uko kwenye moto wa jehenamu
🤣Pole sana kwahiyo una uhakika ni FUTA lilikukamata?
Hii ngoma ilinipiga mwezi uliopita katikati...
Nilikuwa napigwa na kichomi unadhani mbavu zinachomokA... Kichwa kuuma
... Ngozi inauma Kama umemwagiwa maji ya Moto ...acheni tu .... Jikingeni.
Sent using Jamii Forums mobile app