Kuna ugumu gani kwa CHADEMA kukusanya ushahidi wa vinavyodaiwa ni vitendo vya kikatili vya awamu ya Tano na kesi ikafunguliwa?

Kwa maelezo haya huwa nawaelewa sana wazungu wakituita manyani. Yaani ule uhayawani tumeuona kisha unataka ukusanywe ushahidi?! Ushahidi unaupeleka kwenye vyombo hivihivi vilivyishiriki uhayawani ule, kisha utegemee kupata majibu ya kueleweka? Kama ripoti ya CAG iko wazi vile na hakuna hatua za maana, ndio itakuwa ushahidi wa wapinzani?
Nchi huu kuna mamabo ya hovyo sana
 
Kat
Hawana ushahidi ila ni kwamba Chadema hawana sera wala hoja.
Wao hukaa kuvizia matukio na kuyageuza sera ili kuombea huruma ya wananchi tu.

Kwa sasa wanatembea na rundo la lawama kwa serikali ya awamu ya tano bila kuwa na ushahidi wowote.

Lissu mzee wa visasi anatembea akieneza propaganda mufilisi za kisiasa.

Watanzania wanataka sera na hoja mpya,ikiwemo kuongelea madhira yaliyopo kwa sasa na sio kugombana na kaburi.

Mbowe,Lissu na wengineo huko Chadema ni wazee wa visasi tu.
Ndio maana hawaachani na kina Mdee.
Hata kama wanao ushahidi, je Katiba yetu inaruhusu wakubwa kushtakiwa?
 
Habari JF,

Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.

Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?

Je, wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli?

Kesi ya Covid 19 inakosa ushahidi gani, mwaka wa pili huu watu wanapotezeana muda huko mahakamani? Kesi ya uchaguzi wa urais hapo Kenya ambayo ni kubwa kuliko huo upuuzi wa kina Mdee imeisha muda mrefu tu, hii ya kina Covid 19 ina kubwa lipi hadi leo kesi haiishi? Kisha wapinzani wakusanye ushahidi ili waupeleke wapi?

Wanachokifanya CDM kwenye hiyo mikutano yao ni kuongea ukweli, anayeona kinachosemwa sio kweli aende mahakamani akathibitishe kuwa sio kweli.
 
A
Nyie ndio chizi. Kwa nini hamkukata rufaa hata moja. Mko kikasuku tu kukariri uongo. Hata mwenyekiti wenu hakukata rufaa bali kutoa madai ya uzushi tu. Mlipigwa na kitu kizito mkachanganyikiwa akili. Chezea magufuli?
Aisee
 
Sasa si muwatoe maana aliyewaweka hayupo ,shida nini ?
 
Kwani waliwekwa na CDM hadi wawatoe? CDM nafasi yao ilikuwa ni kuwafuta uanachama na hilo wameshalifanya. Hayo mengine yako nje ya mipaka yao.
 
chadema wana hasira na kisasi kwa magufuli kuwashinda uchaguzi na kuwatoa kapa. Halafu ni wajinga. Licha kila ishara kutokana na utendaji mzuri au tuite muziki wa magufuli kuashiria wasingeambulia kitu
Kama hii ni kweli why aliiba uchaguzi? Mie nadhani kama alikua ana uhakika wa 100% kushinda angeweka uchaguzi huru Ili Sasa upinzani ukianguka iwe wazi kabisa.

Cha kushangaza 90% serikali za mitaa na vijiji hakukua na uchaguzi maana walipita bila kupingwa. Same na ubunge na udiwani mfano kata yetu alipita mbunge na diwani bila kupingwa so hatukufanya uchaguzi.

Sasa hizo confidence kwamba angeshinda kwa kishindo ziko wapi ilihali alituzuia túsipige kura?
 
Nyie ndio chizi. Kwa nini hamkukata rufaa hata moja. Mko kikasuku tu kukariri uongo. Hata mwenyekiti wenu hakukata rufaa bali kutoa madai ya uzushi tu. Mlipigwa na kitu kizito mkachanganyikiwa akili. Chezea magufuli?
Ukate rufaa kwenye mahakama zipi? Hizi mahakama ambazo jaji mkuu alikaimu muda mrefu kuliko kawaida, na akakubali kuteuliwa kuwa jaji mkuu? Hakuna mahali nilidharau mahakama zetu kama wakati wa kesi ya kubambikiwa ya Mbowe kuhusu ugaidi. Yaani unaona kabisa ushahidi wa upande wa jamuhuri ni wa kubumba, lakini jaji anakaza fuzu tu.

Baada ya haya maridhiano uchwara, mahakama zimeagizwa ziwaachie wafuasi wa CDM waliobambikiziwa kesi baada ya uchaguzi wa kuhayawani wa 2020. Kila mfuasi anayeachiwa mahakama inakiri kuwa alifungwa bila ushahidi kukamilika!

Upuuzi wa hizi mahakama zetu ndio umechangia wawekezaji wote kutumia mahakama za nje kwenye mikataba yao, kwani wanajua hatuna mahakama, bali majengo ya mahakama yaliyo chini ya Makada wa CCM wenye uwezo duni. Katika mazingira hayo, Mbowe angufungua kesi ili iweje?
 
Hawana ushahidi ila ni kwamba Chadema hawana sera wala hoja.
Wao hukaa kuvizia matukio na kuyageuza sera ili kuombea huruma ya wananchi tu.

Kwa sasa wanatembea na rundo la lawama kwa serikali ya awamu ya tano bila kuwa na ushahidi wowote.

Lissu mzee wa visasi anatembea akieneza propaganda mufilisi za kisiasa.

Watanzania wanataka sera na hoja mpya,ikiwemo kuongelea madhira yaliyopo kwa sasa na sio kugombana na kaburi.

Mbowe,Lissu na wengineo huko Chadema ni wazee wa visasi tu.
Ndio maana hawaachani na kina Mdee.
Nimekuelewa mlinda legacy!!
 
BAADHI ya Majaji na Mahakimu ni pasua kichwa sijui nini kifanyike sijui tuandae mfumo wa kujichukulia sheria maana mtu amekudhurumu Mali zako kwanini tusimalizane naye tu.
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Habari JF,

Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.

Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?

Je, wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli?
Jina la JPM linatumika vibaya
 
BAADHI ya Majaji na Mahakimu ni pasua kichwa sijui nini kifanyike sijui tuandae mfumo wa kujichukulia sheria maana mtu amekudhurumu Mali zako kwanini tusimalizane naye tu.
Uko sawa
 
Habari JF,

Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.

Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?

Je, wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli?
Hawana ushahidi wowote hao mbwa
 
Hawana ushahidi ila ni kwamba Chadema hawana sera wala hoja.
Wao hukaa kuvizia matukio na kuyageuza sera ili kuombea huruma ya wananchi tu.

Kwa sasa wanatembea na rundo la lawama kwa serikali ya awamu ya tano bila kuwa na ushahidi wowote.

Lissu mzee wa visasi anatembea akieneza propaganda mufilisi za kisiasa.

Watanzania wanataka sera na hoja mpya,ikiwemo kuongelea madhira yaliyopo kwa sasa na sio kugombana na kaburi.

Mbowe,Lissu na wengineo huko Chadema ni wazee wa visasi tu.
Ndio maana hawaachani na kina Mdee.
Ila wewe jamaa kwa kuchangia pumba humu! Nadhani unashika nafasi ya juu kwa kubobea kumwaga pumba
 
JK: Chadema ni kiwanda cha Uwongo
JK : CCM kuna mafisi
FB_IMG_1644236054901.jpg
FB_IMG_1644236040854.jpg
 
CHADEMA wacheni kutumia Lugha za kibaguzi.

Hakuna Genge lelote Tanzania linaloitwa Sukuma Gang., Kuna Kabila la WASUKUMA.

Ni dhahiri kila ikitokea hoja badala ya kuipinga kwa hoja mnaleta lugha za kejeli na kubeza Kabila la WASUKUMA

CHADEMA stop this GENOCIDE.
Aliyekwambia Sukuma Gang inamaanisha kabila la Wasukuma ni Nani?
Aliyeanzisha Sukuma Gang ni CHADEMA au ni wafuasi wenyewe wakiongozwa na Gwajima na vipeperushi wakagawa?
 
Habari JF,

Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.

Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?

Je, wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli?
1. Katiba na sheria za sasa haziruhusu Mwendazake kushtakiwa.

2. Hata kwa wale wasio na kinga lakini Mahakama zetu sio huru na mfumo uliopo hauwezi kuruhusu hilo.

Kwa sasa muhimu kuliko yote ni kupata Katiba Mpya
 
Back
Top Bottom