Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Wanatumia haki yao ya kikatiba na hawavunji sheria yeyote ile ya TanzaniaBasi acheni kutusumbua ,polisi walishasema waliopotea wamekwenda nje kutafuta maisha .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatumia haki yao ya kikatiba na hawavunji sheria yeyote ile ya TanzaniaBasi acheni kutusumbua ,polisi walishasema waliopotea wamekwenda nje kutafuta maisha .
Nchi huu kuna mamabo ya hovyo sanaKwa maelezo haya huwa nawaelewa sana wazungu wakituita manyani. Yaani ule uhayawani tumeuona kisha unataka ukusanywe ushahidi?! Ushahidi unaupeleka kwenye vyombo hivihivi vilivyishiriki uhayawani ule, kisha utegemee kupata majibu ya kueleweka? Kama ripoti ya CAG iko wazi vile na hakuna hatua za maana, ndio itakuwa ushahidi wa wapinzani?
Hata kama wanao ushahidi, je Katiba yetu inaruhusu wakubwa kushtakiwa?Hawana ushahidi ila ni kwamba Chadema hawana sera wala hoja.
Wao hukaa kuvizia matukio na kuyageuza sera ili kuombea huruma ya wananchi tu.
Kwa sasa wanatembea na rundo la lawama kwa serikali ya awamu ya tano bila kuwa na ushahidi wowote.
Lissu mzee wa visasi anatembea akieneza propaganda mufilisi za kisiasa.
Watanzania wanataka sera na hoja mpya,ikiwemo kuongelea madhira yaliyopo kwa sasa na sio kugombana na kaburi.
Mbowe,Lissu na wengineo huko Chadema ni wazee wa visasi tu.
Ndio maana hawaachani na kina Mdee.
Habari JF,
Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.
Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?
Je, wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli?
AiseeNyie ndio chizi. Kwa nini hamkukata rufaa hata moja. Mko kikasuku tu kukariri uongo. Hata mwenyekiti wenu hakukata rufaa bali kutoa madai ya uzushi tu. Mlipigwa na kitu kizito mkachanganyikiwa akili. Chezea magufuli?
Sasa si muwatoe maana aliyewaweka hayupo ,shida nini ?Kesi ya Covid 19 inakosa ushahidi gani, mwaka wa pili huu watu wanapotezeana muda huko mahakamani? Kesi ya uchaguzi wa urais hapo Kenya ambayo ni kubwa kuliko huo upuuzi wa kina Mdee imeisha muda mrefu tu, hii ya kina Covid 19 ina kubwa lipi hadi leo kesi haiishi? Kisha wapinzani wakusanye ushahidi ili waupeleke wapi?
Wanachokifanya CDM kwenye hiyo mikutano yao ni kuongea ukweli, anayeona kinachosemwa sio kweli aende mahakamani akathibitishe kuwa sio kweli.
Kwani waliwekwa na CDM hadi wawatoe? CDM nafasi yao ilikuwa ni kuwafuta uanachama na hilo wameshalifanya. Hayo mengine yako nje ya mipaka yao.Sasa si muwatoe maana aliyewaweka hayupo ,shida nini ?
Kama hii ni kweli why aliiba uchaguzi? Mie nadhani kama alikua ana uhakika wa 100% kushinda angeweka uchaguzi huru Ili Sasa upinzani ukianguka iwe wazi kabisa.chadema wana hasira na kisasi kwa magufuli kuwashinda uchaguzi na kuwatoa kapa. Halafu ni wajinga. Licha kila ishara kutokana na utendaji mzuri au tuite muziki wa magufuli kuashiria wasingeambulia kitu
Ukate rufaa kwenye mahakama zipi? Hizi mahakama ambazo jaji mkuu alikaimu muda mrefu kuliko kawaida, na akakubali kuteuliwa kuwa jaji mkuu? Hakuna mahali nilidharau mahakama zetu kama wakati wa kesi ya kubambikiwa ya Mbowe kuhusu ugaidi. Yaani unaona kabisa ushahidi wa upande wa jamuhuri ni wa kubumba, lakini jaji anakaza fuzu tu.Nyie ndio chizi. Kwa nini hamkukata rufaa hata moja. Mko kikasuku tu kukariri uongo. Hata mwenyekiti wenu hakukata rufaa bali kutoa madai ya uzushi tu. Mlipigwa na kitu kizito mkachanganyikiwa akili. Chezea magufuli?
Nimekuelewa mlinda legacy!!Hawana ushahidi ila ni kwamba Chadema hawana sera wala hoja.
Wao hukaa kuvizia matukio na kuyageuza sera ili kuombea huruma ya wananchi tu.
Kwa sasa wanatembea na rundo la lawama kwa serikali ya awamu ya tano bila kuwa na ushahidi wowote.
Lissu mzee wa visasi anatembea akieneza propaganda mufilisi za kisiasa.
Watanzania wanataka sera na hoja mpya,ikiwemo kuongelea madhira yaliyopo kwa sasa na sio kugombana na kaburi.
Mbowe,Lissu na wengineo huko Chadema ni wazee wa visasi tu.
Ndio maana hawaachani na kina Mdee.
Jina la JPM linatumika vibayaHabari JF,
Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.
Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?
Je, wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli?
Uko sawaBAADHI ya Majaji na Mahakimu ni pasua kichwa sijui nini kifanyike sijui tuandae mfumo wa kujichukulia sheria maana mtu amekudhurumu Mali zako kwanini tusimalizane naye tu.
Hawana ushahidi wowote hao mbwaHabari JF,
Kila kukicha CHADEMA wakiongozwa na mwenyekiti Mbowe wamekuwa wakitupia tuhumu nzito serikali ya Hayati Magufuli bila ushahidi wowote.
Je, kwanini wasikusanye ushahidi na kesi ikafunguliwa dhidi ya Jamhuri na wahanga wakapozwa kidogo kwa fidia?
Je, wao nao pia wanahusika na hayo matukio hivyo wanaficha ukweli?
Ila wewe jamaa kwa kuchangia pumba humu! Nadhani unashika nafasi ya juu kwa kubobea kumwaga pumbaHawana ushahidi ila ni kwamba Chadema hawana sera wala hoja.
Wao hukaa kuvizia matukio na kuyageuza sera ili kuombea huruma ya wananchi tu.
Kwa sasa wanatembea na rundo la lawama kwa serikali ya awamu ya tano bila kuwa na ushahidi wowote.
Lissu mzee wa visasi anatembea akieneza propaganda mufilisi za kisiasa.
Watanzania wanataka sera na hoja mpya,ikiwemo kuongelea madhira yaliyopo kwa sasa na sio kugombana na kaburi.
Mbowe,Lissu na wengineo huko Chadema ni wazee wa visasi tu.
Ndio maana hawaachani na kina Mdee.
Daaa mbwa tenaHawana ushahidi wowote hao mbwa
Aliyekwambia Sukuma Gang inamaanisha kabila la Wasukuma ni Nani?CHADEMA wacheni kutumia Lugha za kibaguzi.
Hakuna Genge lelote Tanzania linaloitwa Sukuma Gang., Kuna Kabila la WASUKUMA.
Ni dhahiri kila ikitokea hoja badala ya kuipinga kwa hoja mnaleta lugha za kejeli na kubeza Kabila la WASUKUMA
CHADEMA stop this GENOCIDE.
1. Katiba na sheria za sasa haziruhusu Mwendazake kushtakiwa.Habari JF,